@masjid.khalil: Fuatilia Chaneli yetu ya Youtube kwa video kamili. https://youtube.com/@masjidkhalil?si=URlQFf-VFP9WUQT5 #islam #ibadhi #maswalinamajibu
sio kweli hilo kwa sababu haramu haiwezi kubatilisha halali
2026-08-14 15:30:57
6
ℒ𝒾𝓁ℬℯ𝒶𝓈𝓉 :
“Isipokuwa wale wanaotubu, wakaamini na wakatenda mema; hao Allah atawabadilishia maovu yao kuwa mema.”
— Qur’an 25:70
2026-09-26 11:29:01
7
hermana :
inakubalika na wala haina shida madhali wameamuwa kutubu
2026-09-13 22:56:05
1
HAMZA THE DON :
Kwa mujibu WA kitabi gani na Aya gani
2026-09-13 09:56:34
0
T20〆DONFYZ :
Allah amesema:
“Isipokuwa wale waliotubu, wakaamini na wakatenda mema; hao Allah atayabadilisha maovu yao kuwa mema.”
(Qur'an 25:70)
2026-09-25 10:09:18
1
Amar Athwar :
Allah kaeka Toba y nn, Hilo jmbo halipo ktk Quran
2026-09-12 09:02:13
3
Aisha Kaburu :
sasa akaolewe n nan 🤔
2026-09-29 07:13:59
2
Mohammed :
tunataka ushahid wa Aya Tu shehe usjeachisha ndoa zawatu
2026-09-14 12:48:02
2
Pedeshee 😄😄 :
kila alie zini na akaowa huyo alie zini nae bas watakupinga sheikh wangu 😂
2026-09-10 20:43:47
2
esaed :
kituchochote abacho mtu atasema niharamu basi nilazima kiwe kimeharamishwa na allah kupitia quran kyarim pekeyake nasio vitabu
2026-09-11 14:47:39
2
Abdillah Bakar :
inafaa bhan ah
2026-10-01 13:55:43
0
منور :
MUNGU akupe kauli thabit
2026-09-11 03:18:46
1
faa qeen🦋🧞♀️ :
subhanallah
2026-09-28 18:14:29
0
Ahmed Awadh :
sheikh allah amsameh na amrehem huko aliko barzakh
2026-09-11 18:02:26
1
back trace :
asa ile aya ilio sema mzinifu hato oa ila mzinifu mwenzake haichukui nafac kwa huyu shekh ama
2026-09-29 06:06:44
0
Saidi Lewis :
mmh
2026-08-14 13:15:58
0
sharif009 :
kwann mungu akasema mzinifu atamuoa mzinifu mwenzake
2026-08-14 15:29:58
1
Ahmed Awadh :
kama jambo lina ikhtilafu ya wanazuoni basi si sawa kuliharamisha jambo,
2026-09-11 18:01:40
1
Nassorhamed :
اللهم اغفر له وارحمه وعافيه وعف عنه وأكرم نزله وغسله بالماء والثلج والبرد ونقيه من ذنوب والخطايا كما ينكث ثوب الأبيضهامناالدناس اللهم اجعله قبره روضه من رياض الجنة ولا تجعله حفرة من حفر النيران
2026-09-10 18:31:23
4
Malikizo :
Hapo Sasa ndio utaona umuhimu wa elimu maana ukiwasikiliza mashekhe wote wakikupa ufafanuzi na dalili unapata mashaka maana wanaokubali inafaa na wanaopinga wote wana ushahidi mzuri tu.zama hizi mahakama ya kadhi hakuna hata huyo wa kukubali kuchapwa bakora na kutenganishwa mji hawapo wanaokubali na kupigwa mawe wenye ndoa ndio kabisaa. Almarhum sheikh wetu Nassor Bachu alimalizia kwa kusema.mzinifu atamuowa mzinifu mwenziwe Sasa ukipinga huyo akaolewe na Nani wakati mchepukaji mwenziwe yupo.
2026-09-20 09:16:35
0
aminamkanja :
naona tupo wengi
2026-09-23 10:07:15
0
Sharif Mbappe :
atoe hay shekh na kitab gan hch wakat allah anacameh
2026-09-26 17:03:02
0
Salim Swaleh :
mm naamini kama kwel umeamua kutubu kwel bas Allah atawesamehe sbb Allah ndio mjuz ya yote
2026-10-01 14:11:47
0
zümãïdã@ :
unachi kisema kama ni kweli hata walio kwende ndoa wengi wao wanazin hasa kwa hiki kizazi
2026-10-01 11:23:10
0
yusairun :
Maadamu kuna ikhtilafu Katika madhehebu ya ibadhwi Katika madhehebu mengine hakuna ikhtilafu
2026-09-11 15:34:05
0
To see more videos from user @masjid.khalil, please go to the Tikwm
homepage.