@jukwaa.la.maarifa: Dkt Sheikh Abdulrazak Amir Amewakumbusha Baadhi ya Wanandoa Kuhakikisha Ni Vyema Kutokagua Simu Ya Mwenza Wako Mfano Pale Unapoingia Ujumbe Mfupi Wa Meneno Katika SIMU(Message) Miongoni Mwa Changamoto Kubwa Katika Mahusiano ni Pamoja Na Shida iliyopo Katika Wenza Kukagua Simu za Wenzao ikiwepo Kukagua Message ya Mumeo Au Mkeo Baadhi Message Zinazoingia Katika Simu Zimekua Na Maudhui Ambayo Ayatompendeza Mmoja Wapo Hivyo Ni Rahisi Kuanzisha Maugomvi na Matatizo Baina Yao Dkt Sheikh Abdulrazak Amir Amewakumbusha Baadhi ya Wanandoa Nyakati za Uchumba Ulikua Ukiona Message ya Mwenza Wako Unajikuta Unafurahi Tu Kuona Umetumiwa Ujumbe Na Mwenza Wako
siwez kaa bila kukagua cm ya mume wangu na ananijua kua mpekuzi anaiyacha tu cm yake
2026-08-14 16:17:26
3
Fs consultant :
Sheikh ndoa haifundishwi inaelekezwa tu hata ww unamambo yako na mke wako
2026-08-15 18:00:48
4
Twalha 🥰🥰 :
Apo shekhe utanisamehe siwezi pk nishike sm yake mbona wao wanashika zetu 🤣🤣🤣🤣
2026-08-14 19:20:46
2
difa Kazema :
mke na mume kila mmoja anayo haki ya kukagua sim ya mwenziwake wakati wote nisahihi hatakama tuna aminiana lazina kilammoja akague sim ya mwenzake nihaki na ni sahihi
2026-08-22 16:33:15
0
Hassan dolphins tour :
Sheikh ukunywe soda nitalipa 😂
2026-08-15 13:57:47
1
mudy joOh :
shekhe umeongea sahihi mimi mkewangu kakagua simu mpaka tumegombana kabeba viombo kaondoka kwao na Taraka sijampa shekhe wng sababu kubwa ni simu🙌
2026-08-21 16:26:13
0
SABRAH SAYD :
Tatizo sio simu tatizo ni matendo ya mwenye sim
uaminifu ni asimia 0aiku hizi na maradhi ni mengi
2026-08-19 04:56:31
0
Shadya Simon :
kama hana mambo meusi anaficha nini hyo simu mtu anaejiamini kwa ndoa yake haezi ficha ficha simu yake shekhe
2026-08-22 21:18:42
0
QAYS :
ss shekh asifokewe
2026-08-18 15:23:20
0
💍𝑴𝒓𝒔 𝑺. :
Ebu niache usinishauri 😂😂😂
2026-08-16 15:38:38
0
💞miss smiling ☺️💗 :
wee shehe mkuu niukuulize trust inakujaje na password kila kona km yeye hajiamin mimi nani..tutashika simu midhali ya mume wangu si yako shehe