@dr_dorothy_gwajima: Tukiji Festivisha na shogaangu mwenyewe kwenye Kizimkazi Festival 2026😘🇹🇿📌 Mwakani njoo jamani tujimwaye mwaye pamoja💃💃💃

GwajimaD
GwajimaD
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 14 August 2026 13:04:15 GMT
72656
2429
261
136

Music

Download

Comments

fedhag
Officialyfey :
mama mweny busara zake [Heartwarming][Heartwarming]
2026-09-19 19:44:40
0
manga9243
manga :
Ninachompenda huyu mama yupo natural 😁
2026-09-19 19:59:40
1
alisalim4716
sheikh ali :
uko vzr mama mashallh
2026-09-19 15:52:30
0
malihas.kitchen._
MALIHA'S KITCHEN _SINGIDA :
she is very lovely,beautiful soul
2026-09-19 09:41:03
1
sarahosman943
Sarah :
I love you mama
2026-09-19 16:26:11
0
ummuhchrlz
umchrlz :
wachaaaa mom🥰
2026-09-19 16:53:23
0
tk8636qvhzsd7s
ilace :
Mama kagwaduka huyu kama mama yangu 😂😂@gwajima
2026-09-19 17:16:16
4
user3619040185969
Ray macake :
Kutoka moyon huyu mama mi nampenda
2026-09-19 07:55:58
11
denisladison
Denis Ladison :
mi nampendaga nywele zaketu😂
2026-09-19 18:48:49
1
wolverine2540
wolverine :
MAMAM SHIKAMOO NAOMBA UNIAMBIE JINA LA HUU WIMBOO
2026-08-23 16:01:16
11
seyyar011
seyyar🌸 :
angalau ungekua uraisi upewe ww😅😅😅😅
2026-09-12 06:39:35
3
user3771500060575
953538 :
kumbe wazir akipta mda anacheza tutakufuatilia😂😂
2026-08-23 06:27:23
13
itshm__
HM :
una mtu?
2026-08-14 13:19:08
5
adelphine.kaganda
ADELPHINE KAGANDA :
Genz wanaogopa kubambia😂😂😂
2026-09-19 10:47:04
1
babyhuled
babyhuled :
huyu mama angu nimemuwahi wallah atakuwa pacha wa baba levo 😂😂😂😂
2026-08-29 06:04:32
3
joycekisibo7
Mtoto joy :
Jipe raha mama
2026-08-29 22:05:07
1
lazaro.nhomondoi1
Lazaro Nhomondoi :
aaaah,, bx tusahau kuhusu kuzeeka kwa mama yetu ,,bado yupo sana
2026-08-24 17:50:14
2
mercy_a87
Mercy :
Waziri wangu wa faida kabisa 🥰👌
2026-09-04 12:43:57
1
jordan_tarimo
Jordan :
Mama nakupenda sana. kila la heri, Yesu Akulinde na Kila Shari Mama Yangu. 😍🥰🙏🙏🙏
2026-08-19 07:19:04
2
ictdepartment760
done :
mi namkubali huyu mama miaka mia mungu ampe uhai mrefu aendelee kutuongoza hasa sisi vijana. mheshimiwa mama gwajima ishi miaka 100
2026-08-16 07:00:21
1
mohammed.bakari10
Mohammed Bakari :
mashaallah mh.napenda unavyo refresh mind. hongera yako
2026-08-14 20:27:31
1
mikesarpong4
Mike :
huyu mama anaonekana mtaalam sana🔥🔥
2026-09-19 18:46:58
1
muucute2
muu🦋cute🦋❤️ :
Mama tunampenda huyu Allah ampe umri mrefu amin❤️❤️❤️
2026-08-15 05:19:10
1
user9673556851301
user9673556851301 :
Huna baya mami yangu wewe ni kipenz chetu🥰
2026-08-22 03:39:07
1
othman_bay
Othman_bay :
vitu vyangu kabisa
2026-08-23 14:58:57
1
To see more videos from user @dr_dorothy_gwajima, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About