Kuna jamaa aliwahi kuachwa na hii bus akachukua piki piki akalipa boda 40k
2026-08-15 05:35:03
49
Noah lugano :
DPN,DPC,DRH,DXE,DWL,
2026-08-14 18:08:05
5
Mery Nsemwa :
msijisahau yupo mwamba saizi kaingia na si mwingine ni ACHIMWENE nae saizi ndo mwamba na mfalme wa Balabala japo hawezi mfikia SAULI
2026-08-16 14:34:00
14
davidwalker_Tz :
kama sauli asingefariki zingekuwepo mpaka leo
2026-08-14 21:49:47
13
joannajess :
aisee,,Kuna iache iende...,mjeshi..,DRH;yaani ulipoitaja hii gari,nikakumbuka lile lililoondoka na konda pale Ruvu,wakati huo wewe upo kwenye IT😂
2026-08-14 19:25:49
5
Mary mussa :
jaman naomba kuuliza ivi sauli bei gani mpkaa tundumaa
2026-08-17 18:59:11
1
Be hamble :
natamani sana siku moja atokee boss mmoja atembeee na jina la sauli yaan anunue jina afu alete izo scania kupitia jina Hilo lililokuwa Lina nyota ya kipekee hapa TZ watapiga hela
2026-08-14 15:31:45
25
Maggie Calvin :
walijali.MUDAmpk leo bd nina ticket zao duuuh ndo ilikua gar yng mie mafinga,dar😍😍
2026-08-24 21:11:41
1
Bless_G🥁✝️🔐 :
mnyama
2026-08-14 15:23:16
5
Shamte Bakari :
jina limekaa kipesa mniombee nipige pesa ninunue kama hizii
2026-08-14 19:32:13
7
𝑺𝑶𝑳𝑶 𝑾𝑬𝑹𝑫𝑰𝑵𝑮😎😭👌 :
nilitoka dar naludi makambako
sikuamini ndani ya mda mchache
nilijikuta nipo makambako
na sikuzoea hivyo SARUTI kubwa
2026-08-15 11:42:13
6
Petro Julius :
wengi wanaaamini umaaalufu wa pesa ndo hata ukifa utaendanazo ukaishi nazo ukifa samaniyako hapo kabisa leo jina lipo mali hamnakilakitwo kinapotea i
2026-08-15 00:03:34
5
MISS NEE💔🖤 :
Nilipanda kipindi nna mimba na nikakaa mbele karibu na dereva ilibak kidg nijifungue😂😂😂😂😂😂
2026-08-21 14:48:34
6
tekraemmanuel791 :
apana walikuwa wanauduma nzur sana sauli😃😃😃😃
2026-09-01 05:41:26
2
Yuda Mwakyoma ( Mwanjejele) :
ilipo ingia hii route sikuwai panda gari nyingi kikubwa hawa wana walikuwa masaa mbele no kulala njiani
2026-08-22 12:40:03
2
Stella Nkwama🥼 :
dar mbeya
mbeya dar
gari ilikuwa zuri sana
nakumbuka ile sauli fupifupi wakati jipya nilitoka nayo dar mbeya
2026-08-19 04:56:43
2
chapo :
😂😂😂hii bus kama Kuna mtu hajawahi kupanda basi hatokaa apande gari zuri kama hili, tuliwahi kukamatwa makambako toka dar tukafika makambako saa 6 mchana
2026-08-15 05:57:53
7
😇🫡🇹🇿Christmas🎄💪🛣🚎💯✍️ :
😓😞😩R.I.P too Sauli Solomon Mwalabila😭😢🥹😥😓
2026-08-15 17:38:59
9
prezzy Dar@21 :
akumbukweeeeee milelele sauli respect sana
2026-08-15 10:24:13
4
user6160249526980 :
Duh nilitoka mbeya saa10 Asubh nimeingia dar 9 jioni
2026-08-15 12:19:00
4
Shadow Worrier :
ilinogesha ligi na kufanya nyanda za juu kusini kuwa ligi kuu Tanzania bara🤣🤣
2026-08-15 20:48:38
4
Ndecky Stationery :
hii gari hata ukiwa mbali na lami halafu ikapita lazima usikie kuwa imepita ilikuwa na sauti furani hivi ambayo ikivuka tuta lazima mtafutane. chuma hizi zinatembea hadi sio powa
2026-08-18 06:48:17
3
Sharif Athumani :
sema ata kama sauli kapotea ila iyo sauli DXE igeuka Kua katalama DXE bdo sauli yupo load
2026-09-05 07:31:06
1
donrabi @kombe :
daah vizuri havi dumu😭
2026-08-17 06:29:29
1
To see more videos from user @tito.gadau, please go to the Tikwm
homepage.