@cyberup_daily: 🚨 Kama unatumia WhatsApp na huja-enable Two-Step Verification, hii ni reminder yako. 🔐 Ni simple setting, lakini inaongeza layer nyingine ya protection kwa account yako. Settings → Account → Two-step verification → Turn on Na next video… 👀 Nitawaambia vile mtu alihackiwa WhatsApp, aka-create broadcast ya watu 256, na kuanza kuomba pesa. Na mimi nilikuwa ndani ya hiyo broadcast. 😂 Follow CyberUp Daily for Part 2. 🛡️ #CyberUpDaily #WhatsAppSecurity #fyp #CyberAwareness #OnlineSafety
CyberUp Daily | Online Safety
Region: KE
Friday 14 August 2026 14:17:38 GMT
Music
Download
Comments
Ummy hunaifa :
two step verification ndio NINI kwanza
2026-08-16 04:30:13
1
Sultana Mam .S.A :
Thanx Habibty
2026-08-15 04:39:36
1
Samia swaleh🇩🇿🇩🇿🇩🇿❤️♥️❤️ :
thanks
2026-08-14 21:03:15
2
Thamimah :
done thank you
2026-08-15 19:32:14
1
shufaayasini :
Shida yangu mimi nataka nifahamu namna ya kuzuia kuungwa kwenye magroup, sipendi
2026-08-15 15:58:31
5
Niptezh :
Message me
2026-08-14 23:51:54
2
sweetnoory :
na nikitaka kujua km kuna mtu alini hack nafanyaje?
2026-08-15 13:37:46
1
Steve Barber💈💈 :
thank you sister , nimeiset
2026-08-16 00:08:37
1
garero tanzy :
thank you
2026-08-15 09:24:51
1
Queen R⚘️ :
Allah akulipe mema mengi🙏🙏yaan fast nimefik naingia what'sapp
2026-08-15 10:54:56
1
.mama@lao :
shukuran
2026-08-15 08:00:23
1
Dorcas :
Thanks dada na kwa FB jee
2026-08-15 08:48:14
1
ابرحم💎 :
inafaida gani kipenz😳
2026-08-15 08:20:22
1
MQ💜✌️ :
done ✅ thank you
2026-08-15 08:11:26
1
QUEEN G♥️ :
Asante dear 🥰
2026-08-15 05:41:38
1
عبد الرحيم :
vp sac nikisahau
2026-08-15 06:50:15
1
Brazilero :
mm shidayangu nataka picha ninazotumiwa WhatsApp zisiingie gallery
2026-08-15 19:40:45
1
Thumah thugy :
shukrn 🥰🥰🥰
2026-08-15 07:20:08
1
sis mo :
Allahbakuzidishie hapa na pengine
2026-08-15 06:13:14
1
zaynabbonggo :
kumbe sii Mimi pekeangu asanté dada♥️♥️♥️♥️
2026-08-15 06:17:19
1
MWANAULU SEBE :
Inshallah
2026-08-15 06:59:56
1
Rajan :
asante nimefanya ndugu yangu
2026-08-15 09:15:31
1
princess001 :
ni kweli
2026-08-15 03:33:26
1
Mwazany MgeniTz :
DONE
2026-08-15 04:28:17
1
Missyie Wendo :
shukran
2026-08-15 04:16:58
1
To see more videos from user @cyberup_daily, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.