Hawa ndo wanafanya watu wasema maulid ni bidaa ...hivi sivyo tunavyosherekea maulid bna
2026-08-15 08:13:01
36
Ïšlã Jñř Isla :
ndio mana yakawa Bida'aa
2026-08-14 19:54:19
22
Iam_braz 👑 :
Sifa Yao kubwa hawa kula aseeee 😂🔥
2026-08-14 19:31:32
21
Abal Ajami :
hakun maulid ya hvi
2026-08-15 04:43:18
13
Bruno Mawe :
apo anajiona kama chris brown
2026-08-15 09:52:36
16
. :
kama ujachukua no hapa bhaasi tena shekhe
2026-08-14 15:27:29
8
Hatibu Nkonga :
hawa ni muhimu kuulizwa kama huu ni Uislam au Kuna kampeni ya Kimarekani au kampeni ya kizayuni ya kuchafua Uislam sahihi.
Maana Uislam sahihi wa Ahalbayt Rasulillah watu wengi hawaujiui na wanazidi kutengeneza Madhahab mapya Kila siku