yaaan huyu kama mim😳😁😁😂😂jmn jmn nimepigwa tukiooo kubwaaaa mpk mama Samia akisikiaa hatovumiliaa kabisaaaaa 😂😂nguvu kazi yake ya taifa iteseke iviii😁😅
2026-08-14 18:26:29
335
Anny😇 :
Nadhan wanawake wengi Tuko hivo
2026-08-16 07:59:24
244
nanah045 :
Huko ni kujipendekeza,,,,,not everyone needs you in their life,,,, think big dear
2026-08-17 19:56:36
0
Nancy❤️❤️ :
And if we tied …..we tied my friend 🥰
2026-08-17 13:40:55
0
Dillion baddie :
that was the old me 😫
2026-08-18 12:25:23
0
🦋@Rumy Hd🥰🦋 :
wale tunaoondok kma ambulance tujuane apa 😆tunalia uku tunafanyaje malizia..........😁
2026-08-15 17:52:08
123
Pinah💞💕 :
my situation 😳😳😳😳,,
2026-08-15 12:32:14
13
Reney cute🦋💫🎀 :
Na tukichoka tunachoka haswaaaa
2026-08-14 19:51:44
191
Barbiemiey :
Me alinipiga matukio nililia nikalia nikaona hapa nitakufa nikamove one now nipo naishi kwa amani tu
2026-08-16 14:41:57
15
kauky 🫰 :
ila tukiAmua kuacha tunaacha
2026-08-14 19:37:59
58
Ann salisa♥️ :
Huyo ni mm. mwisho nimeblock kila mahali🤣
2026-08-14 19:41:44
23
Ms mery💋❣️ :
mbona mmeifungia jaman tunataka tusave😌😌😭💔
2026-08-15 09:49:51
14
Ms Demure 🌼🌸 :
uyuu ni libra bila shaka
2026-08-16 07:46:32
6
Maggie ❣️ :
Me kwa upande wangu naona ndivo wanawake tulivo tunakasirika, tunasamehe ila upendo ukiishaa narudia upendo ukiishaa tukisema Basi basi ndio imetoka hiyoo..huwa haturudi nyuma .. my situation right now 🥹🥹
2026-08-16 13:35:29
7
litham :
wema huo sina
2026-08-15 16:57:00
10
salmanurudinichar :
Sisi wengine tukienda Huwa hatugeuzi hata shingo😂, only three chances
2026-08-15 19:15:03
10
Minah8898 :
na tukiacha tunaachaga mazima😂😂
2026-08-15 11:06:51
9
B 11 :
Sanam lako nmekujengea zanzibar wee dada 🥰
2026-08-15 13:05:36
7
jane_kenzo :
Kidogo anitoe roho kwa matukio yule baba lakn bado tupo wenyewe 😂❤️🔥
2026-08-16 06:33:04
9
montannababy1 :
E mungu nipe bass moyo kama wa uyu mdada please 🙏
2026-08-15 15:18:08
6
𝑱𝒐𝒋𝒐 𝒐𝒈 🌺🥀 :
mim uyu kabxa lakin tukio alokuj kunipga mbna nimemsahau saiv😂
2026-08-14 19:57:18
5
chama baby❤️❤️ :
mimmi huyu kabisa
2026-08-16 12:35:34
0
maddohdezillion :
FACT SIS
2026-08-16 09:51:02
1
To see more videos from user @issa_voice, please go to the Tikwm
homepage.