@darcentralsda: TURNING POINT — CHANZO CHA MAGONJWA NI NINI? Je, umewahi kujiuliza chanzo cha magonjwa ni nini? Na afya ya mwili ina uhusiano gani na afya ya akili? TURNING POINT ni mfululizo wa vipindi maalum vilivyojengwa juu ya maarifa ya kina kuhusu afya ya mwili, afya ya akili, mtindo wa maisha na ustawi wa mwanadamu. Katika mfululizo huu, tutachunguza maswali muhimu, kufungua uelewa na kujifunza namna ya kufanya maamuzi bora kwa ajili ya afya yetu. Karibu katika mfululizo wa TURNING POINT 🗓️ Kila Jumanne ▶️ YouTube: Dar Central SDA Church 🎵 TikTok: Dar Central SDA Church @mike.ndimbo TURNING POINT — Maarifa yanayobadilisha mtazamo, afya na maisha. #TurningPoint #DarCentralSDAChurch #Afya #HealthAndWellness #ChanzoChaMagonjwa #DCCSDA @

DAR CENTRAL SDA
DAR CENTRAL SDA
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 14 August 2026 14:43:34 GMT
527
31
1
2

Music

Download

Comments

jamajamedia9669990427811
JAMAJA MEDIA :
Aminaaaaaa We Are getting ready for this God Bless DCC SDA MEDIA
2026-08-14 20:49:30
1
To see more videos from user @darcentralsda, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About