allah amurehem baba yake ampe kauri thabit uko aliko 🤲🤲
2026-08-14 15:45:05
85
heri nuru :
yarrab nijalie neema
2026-08-14 21:00:53
0
chichiactress2026 :
Kishki nioe mieee🥺
2026-08-15 06:33:44
0
wasafy classic baby :
manshallah manshallah
2026-08-14 21:02:10
0
NEWDLOS.. :
Allah tujalie mwixho mwema
2026-08-15 04:55:20
22
jami love :
sijui kwa nn nalia😭😭😭😭😭😭😭@🙏
2026-08-15 08:05:19
14
🥰 :
mashllh
2026-08-15 11:01:00
0
fiq-ret💕🦋 :
Allah tujaalie vizaz vyema Allah amrehem baba ake na baba wote amiiin🤲🤲hata mm machoz yamenitoka😭😭
2026-08-15 08:17:32
11
Ishana❤️ :
mashall
2026-08-15 05:49:48
0
Yussuf Abdullah Aly :
Mashaallah hata mmi machozi yamenitoka maskini
2026-08-14 17:55:50
11
Al_abry 91 :
Mashaallah Allah amrehem mzazi wake na Ampe makaz mema peponi.. hakika haya ni Malezi Bora na tunapaswa kuyaiga
2026-08-14 19:58:26
15
kidoti Tz🇹🇿🕌 :
Najikuta nalia tu Allah awape Kauli thabit wazazi wetu WALIO tangulia🙏🙏
2026-08-16 08:23:31
2
shakil :
allh tujalie mwixho mwema
2026-08-15 14:05:02
5
anko unayci :
uzur ulioje wa mtot kama huyu apende dini na ampnde shekh kishik Allah azidi kumpa iman had mwisho wa maisha yake na watu wengn piy tujitahd kuwafunz watoto wetu mamb mema kama huy mtoto mashaallah
2026-08-16 05:28:13
2
hawaaa bint kioby :
Sasa mm nalia nn wallah😥😥
2026-08-15 13:48:30
3
MEJJA FARAH :
Allah tujalie mwisho mwema
2026-08-15 10:53:02
3
Aziza_ juma :
wallah najikuta nalia tu 😭😭😭
2026-08-15 06:50:06
3
faridah :
mola akujaarie mtot mzur
2026-08-15 13:00:42
2
WESSE__45__❤️🇫🇷🔐 :
😭😭😭😭😭😭 nmejikt naliya
2026-08-15 12:28:48
1
zarh m💓💞💓💞💓💞💓💞 :
nimeria san jamani arafu ku a watu reo wanaxarau wazazi wao kwer jamani
2026-08-15 11:12:13
2
zuuh konde❤️ :
dou mungu amfanyie wepesi uy mtoto jamani😳😳
2026-08-15 19:08:03
1
💕💕cute city 😍 💖 :
Allah tujalie mwisho mwema
2026-08-15 12:41:22
2
Ommy2003 :
dha mungu nimwema sana wawahi nimepandwa na imna hadi najishangaaa najikuta natowa machozi mungu akusaidie kijana akufungulie kila lakheri daha amin amni
2026-08-15 07:49:22
5
💦💦Sarah Luambano 🌺🌺❤️🩹 :
sijui kwann nalia😭😭😭🙏
2026-08-15 07:28:30
1
Abdulkadir Muhsin :
Shukrani sana Shekh Nurdin kwa moyo wako wa huruma Allah akupe mwisho mwema.
mm ni mwalimu ila video yako hii imeniliza sana leyo.
2026-08-15 08:59:26
2
To see more videos from user @kiizadiego14, please go to the Tikwm
homepage.