@fadhilah::jamn ndgu zangu me nakumbusha tyu waislam tyufanye ibada kwan apa dunian tyunapitaa ibada hazizid ata dakika 20 kwa kila kipindi mungu atupe moyo wakupenda ibada inshaallah nakufanya adhkar kila siku tutengeneze njia iliyo bora kwetu dunian na akhera amina inshaallah na ndgu zetu wakristo msisahau kusali pia ijumaa pili mkafanye ibada na kutoa sadaka wote kwa ujumlaaa amina