hahaha siafu umeshindikana wallahi nakupenda kwaajili ya Allah kwahakika Allah akuhifadhi fidunia wal aakhera insha'Allah biidhnilla ☝️
2026-08-15 00:27:19
5
NABAHAN ONLINE TV :
anayoyasema ni sahihi lakin njia ya kuyafikisha siyo kabisaa punguza jazba akhy
2026-08-15 06:23:36
2
Bin Joho :
Mungu ni hakimu tuacheni kuhukumiana Kila mtu anamapungufu na Kila mtu anaijua nafc yake ila Allah anatujua zaid kumrekebisha mtu mbele ya watu hutaki abadilike Bali unataka aendelee ila ukimuta pembeni ukamuambia ndio hekima ya mtume wetu
2026-08-15 06:35:02
2
mussaabuubakar :
kunywa soda sheikh wangu nitalipa mwenyewe
2026-08-15 07:01:42
1
ABDALLAH BINJUBEIR :
Allah akulipe kheri
2026-08-15 04:43:14
2
fatumasaidi295 :
KAKA SIAFU PAMOJA SANA.
2026-08-16 20:28:51
1
muntadhirhassan :
halifai iloo
2026-08-14 16:28:11
0
khadijakhadhir :
kweli kaka
2026-08-15 03:49:56
1
tuma bby :
mm nashukuru nikiumwa namlilia mungu ananiponesha nikiwa na shida zote ananitatulia kwa ibada zangu,allah aniepushie maradhi ya kuhangaika kwenda kwa mashehe na mapatri mungu pekee ananitosheleza
2026-08-15 04:33:27
5
Mohammed Ahmed Al mahrook :
siafu👏👏 Al hamdu lillah ujumbe umefika👏
2026-08-15 08:41:19
1
surgent tz :
Pamoja na kwamba fir-aun alichupa mipaka hadi kujita Mungu, lkn Allah alipowatuma manabii wake (Mussa na Haaroun ) aliwaambia wakaongee naye kwa maneno mazur huenda akakumbuk au kuogopa,hii inatufundisha tuwe na hekma san katika kurekebisha watu na sio makasiriko na maneno ya hovyo hayasaidii kitu zaidi ya kuongeza uhasama.
2026-08-25 20:30:10
2
Habeeb Mughayyar El bouhury :
Sahihi al-akh umenyooka mashaallaah mashaallaah
2026-08-18 18:19:24
2
user27534124772928 :
kudhulum. wt. atajibu. kwa. ALLAH
2026-08-15 10:47:48
1
s seif :
wapo wengi kwenye mitandao
2026-08-23 07:44:18
2
Nassor Machano :
unayo yasema nikweli ila punguza jazba
2026-08-15 04:34:22
0
MuuTozi :
mm nnacho shaanga mtu anaanzaje kukuambia kuna hela za bure awo wanaotapeliwa na wao Wana iman ndogo sana tatizo😳
2026-08-15 07:05:10
1
INDIVIDUAL 301 :
nilikua nikiwaonya watu zamani kuhusu huyu Moussa Alaw lakini wa tz ni wabishi👍
2026-08-15 14:18:47
2
UMMY SALHA :
ila. nami. nimenusurika
2026-08-15 10:30:26
1
Juma Zanzibar :
kweli
2026-08-18 23:08:45
1
Ibrahim Dologwa :
hatamm alinipiga raki 3
2026-08-15 14:54:08
1
khamis Tours Zanzibar :
ni kweli uyo mwizi ru na ukoenda kwake anakuchukulia pesa kisha anakukimbia wala simu hapokei tena na ukimtumia meseji anasema palipobakia umuachie ngumu
2026-08-15 10:37:35
0
zahasa :
ukweli ni jizi kabisa
2026-08-15 06:02:53
2
To see more videos from user @ibrahimsiafu2, please go to the Tikwm
homepage.