@islamic_rihla: Usiangalie mwanamke pekee; angalia pia mazingira ya familia na namna wazazi wanavyoheshimiana. Ndoa ni safari ya maisha, hivyo ni muhimu kujua nyumba unayoingia na misingi iliyopo ndani yake. 🎙️ Mzungumzaji SHEIKH MZIWANDA 🟣 Follow | Share | Save Islamic Rihla — Safari ya Imani #islamic_rihla #islamicvideo #uislamu #islamic #islamic_rihla 🟠 FOLLOW US

Abou Rufaydah
Abou Rufaydah
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 14 August 2026 14:56:59 GMT
24046
1533
17
207

Music

Download

Comments

salimkeita923
Salim :
imenicost saaana🥺
2026-08-14 21:55:12
0
amima1967
Amima :
wanaume Wana kaa nyuma sababu hawataki kuwajibika.
2026-08-14 17:01:53
3
salimabdalla4
SK :
Ni kweli sana
2026-08-15 02:00:55
0
alfan4621
Alfan :
je kama baba katangulia mbele za haki 😳
2026-08-14 19:51:01
1
user215370207396yuzoman
yusuf dilima :
hakika
2026-08-14 18:29:31
2
user1456288169
Imran Malik :
Upo sahih shekhe
2026-08-14 16:55:23
1
nacceeb2
CHIBU STORE 👟👠🥿💼🎒 :
Sahihi✅
2026-08-14 15:54:19
0
saidi.ali250
saidi ali :
😁😁😁 Yalinikut hayo
2026-08-14 18:30:29
0
user3601863768439
user3601863768439 :
hawawajibiki kwa hiyo watoto wasiolewe
2026-08-14 18:22:08
0
user35057416650108
juma :
mashaallah
2026-08-14 18:17:45
0
dereva.wa.mkoa
ATM MASHINE :
ukishapenda ayo ukumbuki kabisa
2026-08-14 19:37:57
0
modymzurii
Modymzurii🇰🇪 :
💯
2026-08-14 17:49:50
0
66unknown0
Shams :
Sheikh Mziwanda Una fikra za kizamani, wanawake wapo mbali kimaisha, Mwanamke wa kumtawala kizamani hawapo tena, watafutie hao wake
2026-08-14 19:36:48
0
ummy3252
ummy :
wadada mkiona baba yuko mbele msiolewe utakuwa nyuma utaonewa na huyo mume wanaume hawajaona hii tupo wenyewe😝😝
2026-08-15 00:28:39
0
salum_quen1
Salum :
😂😂😂
2026-08-14 18:58:16
0
buddylave
buddyLove♥️❤️ :
💯💯💯💯💯💯💯💯💯 💯💯💯💯💯💯💯💯💯 💯💯💯💯💯💯💯💯💯 💯💯💯💯💯💯💯💯💯 💯💯💯💯💯💯💯💯💯 💯💯💯💯💯💯💯💯💯 💯💯💯💯💯💯💯💯💯 💯💯💯💯💯💯💯💯💯 💯💯💯💯💯💯💯💯💯 💯💯💯💯💯💯💯💯💯
2026-08-14 23:01:21
0
To see more videos from user @islamic_rihla, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About