@diran_mbunge: Wazazi wamekataa zawadi ya gari kutoka kwa kijana wao @mlugemotors #diran_mbunge #bukujero #mwanza #mlugemotors

Diran Mbunge
Diran Mbunge
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 14 August 2026 15:20:58 GMT
501183
50954
1167
2058

Music

Download

Comments

athumani368
athumani :
tanzania ndo nchi peke unaweza ukaandika vocodam na watu wakasoma vodacom😂
2026-08-14 21:44:50
226
orgtyzer_
kizoTYzer :
Mzee kakalia kiti cha elfu kumi na tano alafu anakataa gari la milion kumi na tano kivipi apo?😳
2026-08-14 21:29:22
172
ehunter254
Hunter :
mamaaee labda sio mm
2026-08-14 16:56:26
89
sam.mallya3
Giantpoultryfarming :
hii ni content tu hakuna uhalisia hapo
2026-08-14 17:16:57
305
lucy.lyimo6
Lucy lyimo :
the sound mamaaa fransiiiiiii
2026-08-15 11:19:12
1
graceenock
user4913990435237 :
hii move lkn
2026-08-16 06:26:42
0
yasinihamisi35
Yassin :
naamini kuna sku nitamnunulia mama yangu gari
2026-08-15 04:18:41
144
chinaga_10
Chinaga 10 :
nipe mm
2026-08-16 08:02:29
0
mrdee64
Mr Dee :
real or madrid
2026-08-15 13:00:06
0
kiganu0
@Kiganu :
they are the 1st parents Maybe to reject their child gift...sijawahi ona tena
2026-08-16 07:10:56
1
romanticfurniture
Romanticfurniture_moshi :
Mtuache jamani tupo kwenye kikao mke wa kaka angu kajifungua mapacha kaka anasema mmoja sio wake😂😂
2026-08-16 05:39:05
21
coachkanye3
skratch :
God even if u give us that one we shall gladly accept it Amen 🙏
2026-08-15 05:52:02
1
scola_h
tactgal08 :
mtu asiguse comment yangu😂
2026-08-16 06:12:03
16
alvintz20
ALVIN Tz 🤓 :
welcome to comment section tea 🍵 or coffee ☕. 😂😂😂
2026-08-15 13:58:11
11
kilamlya20
tunu :
Ila wahaya🤣🤣🤣🤣🤣
2026-08-14 17:51:14
13
young.shite
bashite Tz :
nani anaamina km Ili tangazo
2026-08-15 11:30:09
6
mama.africa78
Keen :
mungu naomba mpe mwanangu uzima siku moja aniletee hata kitenge
2026-08-15 10:49:35
7
use_usename
use_usename :
Sasa kama anahela kwa nn asimnunulie mkewe gari wanashea?
2026-08-14 20:56:56
9
hemedy.og
meddy47🙌🙌 :
dah me sijafika level za mzee wang ata kidog ila enzi za uwah wake nkimpigia nkimwambia mzee nimetuma zawad kweny bas anaacha mda wake anaenda kupokea vizawad vya elf 50000 tu na atawahadisia ukooo mzima
2026-08-15 09:11:11
18
user8461888100907
_sophia_ :
hii move inaitwaje?
2026-08-14 19:42:56
32
lameck_mwamba
Bint lameck 🥀 :
diran niuhalisia au ni content tu?
2026-08-15 11:18:18
17
second_son12
ishowspeed__ :
happo mluge motors ndo anatangaziwa biashara😂😂😂😂
2026-08-14 21:07:17
12
unlimited_blessing001
Blessing :
mimi ni yule ninayesogeza pazia kule dirishan kuchungulia😆
2026-08-15 06:07:47
14
ligard075
lingard075 :
hii move inaitwaje
2026-08-14 17:39:11
18
To see more videos from user @diran_mbunge, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About