@lizzymontana01: PAJAMA ZIPO LIKA ZOTE KARIBUNI#lizzymontana✨ #tiktokkenya🇰🇪 #viralvideos #fyp

LIZZYMONTANA✨
LIZZYMONTANA✨
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 14 August 2026 15:53:21 GMT
241802
9849
493
1504

Music

Download

Comments

kamom515
kamom :
vingunguti to segerea[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-04 16:19:46
0
mporipori41
waporipori :
mkweeeeee
2026-10-04 09:56:40
0
genovevaanord
gianna :
hakuna sehemu ya kutuma voice note
2026-08-15 07:21:45
174
giftedsonm
Gifted :
Hiyo ni kesi ya human trafficking ukikamatwa nayo umeisha 😅😅
2026-08-15 07:26:16
83
shahna254
🎀Aiem Angle🧚‍♂️ :
Ndo maana mie sitaki wafanyakazi wa ndani😂😂😂😂😂😂
2026-09-30 09:13:37
4
siriyanestor
🦋💓 🦋 :
Nina mengi ya kusimulia acha nikae pekeangu tu kama mchawi sina hamu
2026-08-14 20:09:32
165
queen_linnah13
LIN@H🌺🌸🇰🇪 :
Today is my birthday
2026-08-15 12:52:41
42
hashirunaabdalla2
rouhy 🦋♥️✨ :
bonge la aidia mwanangu ngoja niingie kazini
2026-08-15 10:34:22
34
ljtrendstore0
Lj Trend store :
utacheka kama hayajakukuta sisi ndani ya miezi 6 tumekua na wadada 4😭
2026-08-15 08:34:30
37
aunt.fetty6
Aunt fetty✈️ :
ndomaa mm nataka wa kijijini kwetu alafu asiwwe mkubwa na asiwe na simu na anamtafuta ndugu yangu maana madalali wamekula pesa zangu sn
2026-08-16 07:14:56
13
sapna_filoz
sapna_filoz :
Nimecheka lizzy🤣🤣🤣
2026-08-15 08:21:40
9
shonstylish22
user Shonstylish😍 :
Moto ww Madalali sjui utakuwa rangi gani😂😂😂😂😂
2026-08-15 05:02:28
39
amirado_19
amirado_19 :
😂😂mimi yulee na notification yangu
2026-08-14 19:58:26
5
mariam.sitta4
Mariam Sitta :
kweli bhana naushuhuda mie
2026-10-03 13:01:26
1
ramadhaniadamu128
Rama home electronic :
hapo ukiwa mfanyakaz smart mnapiga hela kila siku
2026-08-15 06:14:19
13
gracewnjau
Grace mama sita :
Kabisa.Yaani ukijitafutia mfanyakazi anakaa wa dalali ni mwezi mmoja tu anaondoka.
2026-08-15 05:37:06
4
kimsmile19
kimsa🥰 :
😂😂😂😂niongee kwa kusimama au kwa kukaa🤣🤣
2026-08-15 17:00:37
4
emmy25_0
emmyG :
alafu kuna mm hapa nimempatia dalali ela toka mwezi wa 6 mpaka Sasa cjaona Cha mdada wala nn bado namsikilizia😅😅😅
2026-08-16 16:29:40
0
winniecharles440
Winnifridah chaz :
😂😂mi aliludisha nauli yangu mbona 🤣aliniambia kuleta binti nimpe 60 nikampa kamleta binti kakaa miezi 2 tu akaanza kunisumbua kumbe Yule mzee nikiondoka kazini anakuja nyumbani kumpanga ili aseme anataka kwenda kwao kusalimia afu asiludi mi nilikwambia kama unataka kusalimia subili week ijayo napumzika ndio uende nikatoka naenda kazini nashangaa napigiwa simu na mtendaji niludi nyumbani kumbe kaja nyumbani kamchukua binti kampeleka kwa balozi eti mi sitaki kumlipa ela yake 🙄nikamuuliza Yule binti nilivyotaka kukupa mshahara wako ulisemaje,akajibu ooh niliomba uniwekee unipe nikiwa naenda kusalimia nyumbani nikamwambia unanidai laki moja hii hapa ,nikamgeukia mzee nikasema naomba ela yangu ya nauli maana binti yako ameshindwa kukaa mpaka mmenileta uku ili tu aondoke 😁mtendaji akasema iyo laki kata 60 yako iliyobaki watajuana ye na huyo mzee wake 😁😁nikamletea nguo zake pale pale kwa mtendaji nikaondoka zangu
2026-08-16 09:58:49
6
kingvuai
King Vuai🇹🇿 :
mkataba ni mwaka haujafika changu
2026-08-16 16:28:48
0
mom.nev1
mamiiinev :
sitaki mdada mwenye simu
2026-08-16 09:18:18
0
shaban.eng
Shaban Eng :
wanatupiga Sana.
2026-08-15 12:13:40
0
naaj_makeup
Naaj :
Niongee kwa kusimama au nikae 😂😂😂🤣🤣🤣💔
2026-08-16 12:46:33
0
ruichen_lee
Gifted👻 :
yalishanikuta😆
2026-08-14 22:07:04
2
tiny_bloom56
tiny_bloom56 :
Naombeni kiti na maji maana nina mengi Yakusema na hawa madalali jaman @
2026-08-15 09:18:10
1
To see more videos from user @lizzymontana01, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About