@rashidngola: kwa kiluga cha nyumbani kwenu unawaitajee hawa

sadali mizozo
sadali mizozo
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 14 August 2026 16:44:02 GMT
354012
10324
1109
2452

Music

Download

Comments

waspong
Waspong :
daaaa 2ulipo toka munguu ndoo anajua kama uliwhy kulala nao gong lik apo
2026-08-15 10:25:11
304
user9381406767211
ghost man :
Barcelona FC
2026-08-17 16:37:23
0
abnel.ernest
Abnel Ernest :
ibhihere
2026-08-17 19:44:22
0
peter_aloyce7
official_smile :
wanajeshi wa mpakani
2026-08-15 11:38:36
108
user1510268198308
it's ritha ♥️ :
ngunguni ☺️kma we unaziita iv Kwa ki lugha Chen like apa
2026-08-15 09:55:09
163
user27514348267904
Railati :
mhhhhhhhhh kweli au 😆😆😆😆
2026-08-16 13:43:05
0
kuchekeana
waminjinooo junior :
madrid apo kaen mbali
2026-08-16 21:40:47
0
allyhaji528
mr#FUTURE LOV£ :
aaaaaah hii sasa offside 😂😂
2026-08-17 18:52:45
0
mrshebby09
mrshebby09 :
niuzie mbegu
2026-08-15 17:54:55
57
4bywizzy_
⁴by_wïzzy💨 :
kaka me nimelala chumba cha kunguni lakin wewe nakunyooshea mikono
2026-08-17 16:09:29
24
mesood.05
mesood :
Nimemuona lamine yamal
2026-08-15 16:08:20
30
fatma.makurunge
Fatma Makurunge :
mpk damu inanikimbia
2026-08-15 11:36:57
34
kingbravo014
Goldbravo :
hao sisi tuna waita wajomba
2026-08-15 19:36:21
25
kiddayoo
Kiddayoo :
Ni nin izo kwan jamn nashindwa kwelewaaa
2026-08-15 17:25:58
10
sarafinaabdallah93gmail5
sarafina 153 :
wanatokea nchi gani haw
2026-08-15 22:01:30
5
man_2_man.45
Buda_Salma.45 :
ki kwetu ni. Wajomba 😂
2026-08-16 06:57:00
9
joseph.juma04
Joseph Juma :
mmmmh mzeee wasikie kwa jiran yako TU wasje kuwa wagen wako Kuna Ramin yamali
2026-08-15 19:38:02
19
young_trapper_tz
NTWARA ICON 🦍 :
kwa mtazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa naweka wazi ya kwamba maoni yangu na mawazo yangu naeleza kuwa mtazamo huu ni kueleza kuwa sina la kusema maana hata mimi sielewi ndugu zangu..
2026-08-16 21:06:02
5
mashi.boy0
Mashi Boy :
dah wanaonekana wapo hapo toka mwaka Jan wametengeneza mpka lami
2026-08-15 20:12:01
10
zanzibar_cg_riders
Kubaanda :
ukikaa unaondoka nao 🤣🤣 unapoenda unaenda nao
2026-08-15 19:00:23
7
aminata.swago
Aminata Swago :
uuuwi kichef chefu niliwakutaga sehemu sikulala usingiz hauji
2026-08-15 05:56:35
9
omarypazi4
akhy :
hao wanaitwa manispaa
2026-08-15 03:19:44
25
user58846609288174
Ramcey 7 :
yanii stakii kuwasikia kabsa
2026-08-15 19:09:18
5
manduchiog
manduchiog :
mtu ana lala apo au
2026-08-15 17:46:35
6
saummariam6
mariam leah :
mmmmh mpka watisha
2026-08-16 17:18:46
0
To see more videos from user @rashidngola, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About