@the_seeker68: tumskilize bakhlesa anakitu🙏 #the_seeker #jifunzekitu #viraltimestopostontiktok #kenyantiktok🇰🇪 #tanzaniatiktok

The seeker🦺
The seeker🦺
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 14 August 2026 17:29:01 GMT
44634
5447
41
109

Music

Download

Comments

emmor88
BIGBOSSS 888 :
tuambie ulijalibu nini na nini. ? mbona hapo hamsemi
2026-08-14 21:52:36
6
jawedsidik
The golden soul✌️ :
ni nani huyu mkuu?
2026-08-15 14:30:22
0
zawiyahussein
Zawiya Hussein :
ALLAH ❤️atakacho kitaka utapitia tabu ila utapata Ambacho kinasitahiki ALLAH akupe mwisho mwema
2026-08-15 10:27:08
4
wizzy.solutions
wizzy solutions :
KILA M2 ANANJIA YENYE SIRI NZITO
2026-08-14 18:47:34
2
its_selin02
MELISSA ___ ACTRESS :
Alhamdulilah 🤲
2026-08-15 06:56:01
2
harunanuruamiri
Haruna nuru :
kwenye 100.mnaelezewa 5
2026-08-15 13:38:42
1
khalid.ali6199
khalid Ali :
successful take time and work hard 💪
2026-08-15 18:05:06
0
user2211430668661
IT'S DACHI 26 :
daah sahihi blooo unanijenga kk
2026-08-22 12:54:29
0
mbunge55
most wanted :
icho iki na ichi ndio tunakitaka ukiseme
2026-08-14 19:57:30
1
jumahamis099
jumahamis099 :
hakuna mtu anae weza kukwambia sir ya mafanikio yake bwana
2026-08-16 09:37:30
1
user0625763543
Dullah rss :
sahihi mzee wangu bila kukatika moyo mungu yupo na weee hakika nimsemo wa mtu kujuwa kuwa mungu yupo nikumwomba na kupambana bila kukataa tamaa inshaallah tupambane hadidhi ya mzee wetu ndo aliyo pitia nimengi sana bila kukata tamaa na ndo leo hiyi ndokama mnavyo mwona mungu akulinde inshaallah
2026-08-14 18:11:21
2
abrizo00
Abrizo :
allah akbar
2026-08-15 17:44:36
0
yuuzoh27
Yomm😎 :
wanasema mtaji mdogo ukiulza atakwmbia alianza na mil300
2026-08-15 12:13:35
0
jumawashokera
Juma Washokera :
kila mtuy ana njiaa zakee usituchanganyee bhn mzee✌️✌️✌️
2026-08-15 12:05:09
0
hamad.hilal.hamad
HAMAD HILAL HAMAD :
alhamdulillah 🤲 🤲 🤲 🤲
2026-08-18 20:38:49
0
mwinjumaiddi
Mwinjuma Iddi :
nikijarbu mimi....niko jelaa daaah
2026-08-14 17:52:01
0
mwana5749
mwana :
mwenyenzimungu ndie anaempa amtakae na kumpunguzia amtakae so sio ajabu kwa sababu aliekupa huo uwezo ni mwenyezimungu 🥰🥰🥰🥰🥰
2026-08-15 17:30:31
0
user6578777295007
Rashi love :
said sarim bakharesa mzee wangu huyu tajri wa kwanza Tanzania 🇹🇿
2026-08-15 11:48:02
0
user3211528397058
D son :
eb sema ukwel
2026-08-15 07:55:27
0
user491168144619
Ally jafari :
nikweli ndomaan kuna Aya ina sema ..ridhiki fili manyati ridhiki ya mwenzako usinyatie kama huna D .2 huwezi kuelewa ☝️☝️☝️
2026-08-27 15:51:57
0
_senior_jacob_
Senior :
izo pesa zakujaribu umetoa wap
2026-08-14 21:25:17
3
al_farsey0
Al_farsey 🇹🇿 :
@Haythuu bby 😘
2026-08-22 22:01:55
0
sir.raymond82
Sir Raymond :
🥰🥰🥰
2026-08-22 20:15:21
0
barackabangura
son :
😁😁😁
2026-08-14 17:51:01
0
To see more videos from user @the_seeker68, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About