@al.akhi.naasir7: Watu Hawa hawaingii peponi

Al Akhi Naasir
Al Akhi Naasir
Open In TikTok:
Region: KE
Friday 14 August 2026 18:12:19 GMT
43771
7309
177
900

Music

Download

Comments

bahati.othuman
Bahath. 🫶 :
Allah atujalie mwisho mwema 😘
2026-08-14 18:31:24
89
queenamneh3
👑Queen Amneh 👑💕✨️ :
Mm wa kwanza Mashallah kupokea da'wa 🥰🥰🥰
2026-08-14 18:18:54
41
mwanajuma.qtr2023
Mwanajuma [email protected] :
Subhana Allah, May Allah guide us in the write path
2026-08-14 20:23:55
7
zamlet.salum
zamlet salum :
shekhe mm nataka nikuulze maswali yangu binafsi
2026-08-15 19:48:53
7
fayz44444
FàYZ :
kuna kula riba na Kulipa RIBA YOTE SAWA ?
2026-08-14 19:09:29
15
raymkwnd1820
Ray2098 :
jaman me natak kuuliz nilikasrikiana na mtu lakin nshamuomba mung yaishe ila sasa sina mawasiliano nae,,,,bado ntakuw miongon mwa watu waliokat udug?
2026-08-15 13:53:43
12
alhajiathumanikah
all ahk alhaji kahema :
Allah akujaaliye maisha marefu tuzid kuelimik
2026-08-14 18:47:04
16
jumamkelewale
niriyam muna :
shekh naomba msaada wako naomba uje unifanyie dua
2026-08-15 16:34:29
8
ummiemonah4
ummiemonah4 :
Allah atufanyie wepesi in shaa Allah
2026-08-14 18:24:16
14
alimmhamed2002
MOHAMED TOUR COMPANY :
Ustadh naomba kujua hukmu ya dua ya jamaa baada ya swala za faradhi🙏
2026-08-15 04:26:24
6
mariam.mariam9661
maryam maryam :
ALLAH ATUJALIE MWISHO MWEMA
2026-08-14 19:36:15
10
sophybori3
Sophia Ramadhan :
samahani shekh nauliza ety nilazima mwanamke swala ya ijumaa kwenda kuswali msikitini??
2026-08-15 11:26:44
9
zahrakatiko
ZAHRA KATIKO :
SubhanaAllah SubhanaAllah SubhanaAllah Allahumma ghifirli warhamni
2026-08-14 18:56:15
16
plasmoh..23
plasmoh..@23 :
Allah atujaalie mwisho mwema
2026-08-14 22:37:58
8
user9350251474739
DAA2 :
shkrn ustadhi..wabillah taufiq 🥰
2026-08-14 18:42:50
9
ukht.zeyna
Ukht Zeyna :
Allah atujalie tuwe miongoni mwa waja wenye kuingia peponi
2026-08-15 07:45:30
5
amsini.kandoloogma
Amsini [email protected] :
swal al was
2026-08-16 20:43:37
2
asha31122
Asha :
Waalaykum ssalam wahmatullah wabarakaatu
2026-08-14 18:32:50
7
ramadhaniswalehe17
Ramadhani Swalehe :
Allah naomba utujaalie mwisho ulio mwema🙏🏿amiin
2026-08-17 09:27:24
2
user83410610615910
user83410610615910 :
SUBHANAALLAH
2026-08-15 17:28:57
3
mahmoudfromtz
mahmoud from tz :
shekh ongea alaka
2026-08-15 12:05:14
1
rizikihassan977
rizikihassan977 :
walaykum salam warahmatullah
2026-08-15 16:47:59
2
jamoh666
Jamilah 💙🖤 :
Mwenyezi mungu atusamehe penye tulikosea na atujalie mwisho mwema, kama waamini utasamehewa sema Ameen 🤲🤲🤲
2026-08-16 04:57:00
4
anisa.omar
anisa omar :
Allah atuzidishie hofu
2026-08-15 10:56:19
2
user1968551dully
Bin ibrahim 💞💞💞💞 :
je mfano ukiwa una Salio Kweny simu ukakopa tigo elfu,2 100 ,ukitaka kulipa wanakata 420 je ile ni liba au sio liba
2026-08-19 03:36:31
3
To see more videos from user @al.akhi.naasir7, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About