@darwatelectrics: SETUP NZURI YA JIKONI UPANDE WA UMEME. Kazi iliyofanywa na timu yetu ya ufundi na umeme @darwatelectrics Kwa mdau wetu nchini Mozambique. ☎️ 0653535595 . . #tanzaniatiktok🇹🇿 #maputomozambique🇲🇿 #kenyatiktok #cabodelgado🇲🇿
samahani lakini kiusalama naona mmeshavuta waya lakini nyumba naona kama Haina madilisha vijana wasio na kazi wanaweza wakaja wakajaribu kuharibu miundombinu vp imekaajeh hiyo
2026-08-15 09:58:05
1
Noveight :
ebhna kak me binafsi umenikumbusha mbal sana na style Yako ya kuongeaa
yan Ile eeeh eeeh Daah.
lakn pia vp suala la kuweka point ya umeme karib na toleo la point ya gas?
2026-08-18 17:38:49
0
maleboelectricalsystems :
unajua sana mwanangu
2026-08-16 19:09:11
1
user9743320073097 :
Ina garimu Ela ngap na vifaa vyake
2026-08-17 12:17:42
1
Asia Nyangala :
Fundi Nimeshapata ngoja Nitafute Pesa👏
2026-08-17 11:34:50
1
To see more videos from user @darwatelectrics, please go to the Tikwm
homepage.