@its..aminawellness: FAHAMU KUHUSU BAWASIRI Bawasiri ni kuvimba kwa mishipa ya damu kwenye njia ya haja kubwa au ndani ya puru. DALILI Kuwashwa au maumivu sehemu ya haja kubwa Kutoka damu wakati wa kujisaidia Uvimbe au kitu kutoka nje ya haja kubwa Maumivu wakati wa kukaa au kujisaidia SABABU Kukaa muda mrefu chooni Kufunga choo (choo kigumu) Kujikaza sana wakati wa haja kubwa Ujauzito Kukaa muda mrefu bila mazoezi MADHARA Kutokwa damu mara kwa mara Maumivu makali Maambukizi au usumbufu wa muda mrefu,, whatsp no +255682723441 #tanzanian #ugandatiktokers #ElimuYaAfya #kenyan #rwandatiktok

AmiCare Health
AmiCare Health
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 14 August 2026 18:24:55 GMT
348
7
0
1

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @its..aminawellness, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About