@dalali__ubungo: Vyumba 2 vya kulala sebre jiko Maji Umeme unajitegemea Nyumba ina master na public toilet Nyumba ipo ndani ya geti inaraza gari, wapangaji mpo 3 Ndani Kutoka rami dk 3 kwa miguu Kod 400k location Ubungo xtenal Majichumvi ( mrima wa bwana) Sevis chager 30elfu zingatia boss boss wangu #ubungotanzania #fouryurpager #seacherhouse