@conny_fx: Njia ambazo watu wanaweza kuzitumia kukutoa kwenye mstari. Video creator @Joel Nanauka #fypシ゚viral #fyppppppppppppppppppppppp #fyptanzania🇹🇿 #trendingvideo #trending
silence is everything in our life coz pipo there fake many of them 🤐🤐
2026-08-15 12:20:26
4
YoGo Store :
Brother siya chokiii mafundisho yk
2026-08-15 16:37:14
8
James Kusekwa :
Mhe hii nilikutana nayo alafu nikapambana kutumia nguvu nyingi kujieleza kwamba mimi sikufanya nikajikuta natoka kwenye malengo ilinigharimu sana kujua na tangu nilipojua kusingiziwa na kuchafuliwa haviwez kunitoa kwenye lengo na ninaendelea vizur sana...
2026-08-15 07:52:30
12
Momyvee♡♤ :
Kuna mtu kazini ananifanyia indirect oposition na m distraction... Asante ntapamban kubaki kwenye focus yangu japo vinaumiza sana🙏
2026-08-15 12:40:38
7
Elvc Emmauel :
nayote bila mungu utoboi, watu niwabaya sana
2026-08-17 04:10:08
7
user68336905101313 :
hawajakosea hata kukupa ubunge aisee bigup
2026-08-15 02:37:09
8
Vanilla-55 :
Definitely 💯
2026-08-16 12:59:00
2
NYAGOLA YANGA TARIME :
hapo nimekuelewaaa et
2026-08-15 20:09:37
2
Dogo Tiktoker :
🤣🤣🤣...
2026-08-15 07:51:11
3
@Husnayaan :
2026-08-15 08:33:08
3
user131561855 :
hakikaa kaka
2026-08-17 16:41:49
1
my name is.. :
nimekuelewa
2026-08-15 09:04:02
3
official desangah :
kuna mda tunapigana vita na watu ambao hatujui kwann wanatufanyia hivo so pain 😢
waziri, hatukusikii mikakati ya vijana. kwenye vyuo kuna watoto vichwa wasaidie wawe Isaya Yunge na APP ya Soma na Benji NALA tunatamani midaharo ya vijana mashuleni muwajenge
2026-08-16 18:48:01
1
BMF.com :
kuna jamaa yangu ana mambo ya hovyo lakini mimi na mwambiaga No. kila day anasumbua sijui nimtukane au mashabiki zangu mnasemaje
2026-08-19 06:41:31
1
Frida_designer :
tunao hap na tunaishi nao
2026-08-16 16:33:39
1
To see more videos from user @conny_fx, please go to the Tikwm
homepage.