Mimi nina miezi minne nasubir usiku alale nitoroke
2026-08-15 08:00:27
654
M.H.M🌷🥰 :
Ukisikia black and white ndo hiii wamependeza snaa 🥰🥰🥰🥰
2026-08-15 10:16:20
227
Rosemary❤️ :
au mm ni lupa salupaa😂
2026-08-15 12:29:13
22
pretty 😍mine🦋 :
sie leo tumetimiza two years universally 🥰
2026-08-16 07:22:32
0
its_irene245 :
Me nna miaka 4 niko hoiii sidhani kama ata 10 ntafika wallah😂😂😂😂
2026-08-15 10:15:07
31
RFm :
activist wont post this
2026-08-15 21:39:04
0
Mrs p :
Jaman me ni mwaka 1 ila naona atufiki mbali Nyie mnafanyaje mpka iyo 20 😁
2026-08-15 05:58:42
106
Rama'ah💪 zanzibar 💰 :
miaka 21 from now ❤️❤️
2026-08-15 13:17:45
1
Mr Pablo 🇹🇿 :
Nawakumbusha tu Pesa ipo ndoa zote hizoo😂😂
2026-08-15 08:40:30
54
rose :
Na mimi nina miaka10 ya ndoa Mungu aendelee kunitunzia ndoa yangu🙏🏾
2026-08-15 12:34:07
59
LITTLE 🍒GIRL :
adi nimetamani ndoa jmn daah ❤️❤️💯
2026-08-14 20:44:17
17
Irene Magwizi :
nyie 26😘😘
2026-08-16 07:53:07
0
favoured_leo :
Kusudi la Mungu limetimia. Good testimony.
2026-08-15 00:41:01
17
farida 💖💎 :
🥰🥰🥰🥰🥰Waooooooo
2026-08-15 07:07:54
0
Anny :
Kuna watu wanapenda wake zao Yani 10 years na bado kigori kuna Sisi 4 years nimechoka vibaya🤣🤣🤣
2026-08-15 06:50:33
29
Aishachopa_collection :
Nipo apa miaka18 na bado nampenda chi baba wang🥰🥰
2026-08-15 08:59:27
7
Emmy💕💕 :
🤣🤣🤣kweli watu tupo tofauti jaman me miezi7 tu chariii
2026-08-15 07:26:39
5
red sojer :
kumbuka hapa ni tiktok wakitoka hapo kila mmoja anamfadhili wake😂😂😂 usiogopee wana
2026-08-15 02:49:07
110
Serhaworld🦋 :
Mbn ni vijana
2026-08-15 04:21:01
31
S.A.M :
najua huyo mzee alisahau tu😂
2026-08-15 02:24:21
56
lucy :
Mimi 2 weeks nataka kutoroka
2026-08-15 09:16:50
15
Maryam Sanga :
sikuwahi kuamnini kama nitakaa kwenye ndoa miaka 9 mungu ni mwema Alhamdulillah I love my Husband so much mungu akuweka baba tulee watoto wetu inshaallah
2026-08-15 06:55:38
8
Wi _Stylish 🇹🇿 :
Miaka mi5 she’s beautiful 🔥❤️
2026-08-15 08:21:04
11
To see more videos from user @mcnana_d, please go to the Tikwm
homepage.