@doctor.lucky14: DALILI ZA PRESHA YA MACHO 👁️ Kuona ukungu Uoni kupungua taratibu Maumivu ya kichwa Maumivu ndani au kuzunguka jicho Kuona duara za mwanga kuzunguka taa Jicho kuwa jekundu Kupungua kwa uwezo wa kuona pembeni Kichefuchefu au kutapika pamoja na maumivu makali ya jicho Ugumu wa kuona vizuri hasa usiku Wakati mwingine hakuna dalili kabisa mwanzoni. #macho #afya #doctorprossy #matibabu