Mungu hasomewi ila anaaminiwa na uwezi kuchunguza kitu kisichoonekana ni sawa na kutaka kujua rangi ya upepo..hata hivyo hiyo ni falsafa ya Dkt Mil so inaweza kuwa sahihi hama siyo sahihi maana falsafa ni imani au mtizamo wa mtu juu ya jambo fulani.
2026-08-15 13:47:12
17
KIBAHA Business Hub :
hicho kitabu kinaitwaje
2026-08-15 07:26:08
2
kingkekeeh :
kaka Mungu yuko kila sehemu kaka
2026-08-15 06:56:34
3
mcoxefu axilia🕋 :
the book of wisdom
2026-08-17 15:57:32
2
MAGUZU MARDADI :
mi siamin hayo yote
2026-08-15 05:18:00
1
ralphael_i♍ 🇹🇿 :
Na kitu gani kilifanya Sir Nikola Telsa aseme "to understand the universe, think of it in terms of frequency, vibration and energy c"
2026-08-18 14:27:36
1
Ruwa :
kwani si tayari mungu tunae yule nabii tito sasa unataka tutafute nini tena
2026-08-15 15:44:54
2
Mwela Mnembuka :
meditation inamaana gani
2026-08-15 08:07:05
0
manuely🍒 :
ichi kitabu kinaitwaje
2026-08-17 08:28:44
1
Yusco Makoye :
kaka harakaharaka hivyo sisi ni Genz twende polepole 😂😂😂😂
2026-08-19 15:10:14
2
Leonardhkem :
weuh
2026-08-24 19:34:18
0
punisher :
dah mwanangu unaongea haraka haraka hata sijakuelewa unachosimulia
2026-08-15 10:06:04
1
allysonso955 :
nahitaji hayo majarida
2026-08-24 22:01:54
0
urocke23 :
Kiuhalisia Mimi kwaakili zangu mungu yupo sio nguvu wala roho bila kutumia dini
2026-08-15 19:08:27
1
tykun :
ya kizungu ipo
2026-08-24 22:03:44
0
johcha :
Naqubarii broo💯😂
2026-08-14 23:31:38
1
maty :
Niko hapa
2026-08-15 04:37:57
0
~sam d☆ :
bei gani hiki kitabu kaka?
2026-08-24 14:13:10
0
cello 🚭 :
haloooo
2026-08-23 20:48:01
0
Amiel :
kaka unatuuzia uzima wa milele na Yesu alitoa Bure
2026-08-24 19:28:50
0
NGUNGANE NGWANGWAY MBONDE :
naomba hiko kitabu
2026-08-25 18:26:58
0
DAQYUUS :
download Pinterest kunakilakitu
2026-08-24 19:18:27
0
Chake Changu :
Kama hawapo usiombe wala usiende kwa waganga maana vyote vilitoka kwa MUNGU
2026-08-25 07:07:25
0
AllmjemaTz :
Nahitaji.
2026-08-15 05:18:44
0
To see more videos from user @mm.makaveli, please go to the Tikwm
homepage.