@terramotorscng: +255 754229745

TERRA MOTORS CNG
TERRA MOTORS CNG
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 14 August 2026 23:06:00 GMT
187685
6616
236
516

Music

Download

Comments

tigers_empir3
Tiger🥊 :
Hi ikipata ajali vp,mbona ni Kama kazi ya drone za urusi 😁
2026-08-15 09:44:28
44
bonfacemathu
Morgan matenjagwo :
location
2026-08-16 08:49:22
0
saj_19.official
SaJ_19 :
sasa si atoe tu hlo tank aongeze ukubwa seat linakazi gan😂
2026-08-15 11:09:23
6
ngowi213
NGOWI :
hakuna kuingia tena shell
2026-08-15 12:34:40
5
sasawala_official__07
SASAWALA _JUNIOR :
vp kwenye zile bajaj kubwa kama piaggio mnafunga gas
2026-08-17 09:18:44
1
thedon92.thedoni
THE DON B 92 :
hakuna uwezekano wakuchana tank nakuifunga humo ndani ya tank Kisha likachomwa kwa moto zikawa tang 2 kwa Moja au hata hilii lajuu likifaa siokesii
2026-08-15 15:57:14
5
user32813961665196
living_general354 :
nilikuwa ninasbri sana hili suala, mapema sana bila kuchelewa nintafika hapo....
2026-08-15 06:44:10
13
mwasdci210
DCI m father of 2 :
how much that
2026-08-16 18:50:08
0
kinabo42
KINABO :
🤔Sasa tujiandae na vifo kwa sababu hao bodaboda AKILIZO mmhhh maana hapo wanatumia mafuta tu ajili nyingi ukijumlisha na Gesi
2026-08-17 04:20:33
1
venanceamunishi
venanceamunishi :
Duh mkuu hii valve imetoka sana nje... anangalieni namna ya kuweka mtungi ambao pamoja na valve utacover nafasi ya hicho Kiti bila kuzidi
2026-08-17 05:37:54
1
aidanhaule
Aidan Haule :
Hii ni atari hii😅😅😅😅 na boda znavyoanguk ovyo
2026-08-16 13:09:44
1
alphonce3532
ALPHONCE :
location
2026-08-16 13:43:00
0
okafene
Okafene_incherge :
mama kama naiona iyi ajali na mtungi ukapasuka
2026-08-15 19:08:55
1
mrlesssmile
JEREMY HASSAN :
mko wap
2026-08-15 14:05:14
0
user4450542461716
JAGWAR MAHOTRA :
Vp Zanzibar mtakuja kuwekeza link
2026-08-15 21:01:56
0
mchagawauk
rion :
wamekwisha🤣🤣🤣
2026-08-15 15:04:54
0
deesmarthotcode
deesmart hot code :
Mulienda tbs lakn 😁😁😁
2026-08-15 11:55:22
0
j.brother20
J brother :
nakubali wanang wa CNG
2026-08-15 16:26:04
0
thompol06
. :
kuna usalama kweli kwenye hii mtungi? maana nawaza isije lipukia mtu jaman🤣 just joking
2026-08-16 06:31:16
0
user3938148562357
user3938148562357 :
beigani
2026-08-15 15:04:22
0
ibnukhalifasuleyman
IBNU KHALIFA SULEYMAN :
kufunga huu mfumo ni tsh ngapi
2026-08-15 14:44:37
3
francikero
Franci :
mbona hujibu comment sasa nini maana ya kupost mkuu
2026-08-15 12:51:25
0
east_fashion
Handbags pro👜 :
Baba wanataka kunichoma kbsa miguu haiwatoshi bab🥺🙏 😂😂😂
2026-08-15 10:50:56
3
tarikimuba27
TARIKI ALUMINIUM :
fanyeni chap tunahitaji mitungi wazee
2026-08-15 19:26:43
1
moneyheist_rider
Money heist_rider🏍️🇹🇿 :
Mmefanya vizuri ila huo mtungi hauko salama tafuteni namna yakuuweka uwe salama🙏
2026-08-15 13:30:53
0
To see more videos from user @terramotorscng, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About