kuna mda raha sana yaani unamfanyia mtu ubaya kwa kumkomoa kumbe ndio unamfungulia milango ya fursa
2026-08-15 07:11:30
115
ashii.. aura🤑🥰 :
Marshall
2026-08-18 10:21:23
0
Badru Suleiman :
wazungu wanaita overwhelmed love👏mashallah
2026-08-18 01:41:45
0
Mammy Royal :
Sheikh Walid Awe Mufti TU Wa East Africa.May Allah Protect Him Always.
2026-08-17 13:09:31
1
King Yass :
mbona hamutoi tangazo kama yuwaja Na programs Zake .
2026-08-15 00:26:09
37
🦋its yusrey :
mashalaah hii Noor ya Allah ilommulika sheikh walid Allah ajaalie imulike na vizazi vyetu
2026-08-15 07:33:53
9
sungita Jr :
MaashaAllah
lakin tulikusubr sana kwa hamu dodoma🥲
tumepewa taarifa katikati ya tukio,binafsi niliumia sana,lakini yote ni katika kheri,Allah akulipe kwa nia yako inshaallah 🙏
2026-08-15 00:29:56
26
fandramas26 :
Iyoo tunaita aliyeinuliwa na mungu mwanadamu hawezi kumshusha
2026-08-15 06:51:53
35
yash kash :
kindly give out his darsa program and inshallah we will be there
2026-08-15 07:51:05
9
nisha71 :
mashaAllah welcome to Mombasa our sheikh walid we love you ❤️❤️❤️❤️
2026-08-15 10:43:00
2
The Man&half💪 :
mmeona hao watoto wadogo walivyo furahi kupiga picha na shekh Walid
2026-08-15 08:38:26
23
TEAM SIMBA BAMBURI :
wallahi ni sheikh wetu tunaempenda sisi wa kenya Allah amuhifadhi nampenda kwa ajili ya Allah
2026-08-15 13:07:43
24
zamzaabdul198 :
Yaani kachoka huyu baba jamani basi ni vile watu wanampenda hana jinsi walah
2026-08-15 13:04:48
11
user731759926057 :
Allah amuhifadhi amjaalie afya njema na umri twawiil daraja yake iwe ya Jannatul firdaus a'alaa🤲
2026-08-15 06:21:07
11
ma kiffah :
jamani tembea na Nairobi pia shekhe wetu🥰
2026-08-15 06:59:51
10
In your Contact :
Wanapofikiri wamekuangusha Mungu anakuinua zaidi ya pale ulikuwa mwanzo
2026-08-15 06:57:19
17
GLAM/TRENDY :
subhanallah mashallah Mashallah haya sio mapenzi ya kawaida Allahu Hafidh sheikh wetu
2026-08-15 03:04:23
6
AzyzModesty :
Daaaah hiyo rast imeniumiza sanaaaa dooooh
2026-08-15 06:20:51
6
Suhaila Juma :
mashaaAllah sheikh Walid...SIMBAAA...ukija Kenya naomba nihudhurie japo darsa zako
2026-08-15 05:05:15
5
hadeel💙💗 :
MashaAllah TabarakaAllah 😍sheikh wetu kipenz cha wengi Allah akuhifadhi na akujaalie kher dunia na akhera na akupe jannah ukiwa na RASOOLILLAH S.A.W 🥰🥰
2026-08-15 06:59:25
6
Esha Matano :
neema ya allah haipingiki mashaallah ❤️
2026-08-15 06:31:14
7
frida❤️ :
Shekhe naomba sana ikikupendeza unitafutie kijana wa kunioa huko mombasa nataka kuswali ila sasa sina wa kuniongoza ishallahalla🙏
2026-08-16 17:31:51
3
user1411675618226 :
ManshaAllah hadi machozi yamenitoka wallah nyie kupendwa Rahaaa
2026-08-17 13:33:33
0
preetie_thary_707 :
Waja wema wa Allah bado wapo, sio kwa mapenzi haya wallahi, Allah aendelee kumpa Nuru Sheikh wetu
2026-08-15 15:42:37
2
Nasrah :
Jaman mombasa msituibie sheikh wetu ndo tunae huyu huyu🥺🥺🥺
2026-08-15 19:14:56
4
To see more videos from user @sheikh_walid_alhad_tv, please go to the Tikwm
homepage.