@younggiftedtz:

YOUNG GIFTED TZ
YOUNG GIFTED TZ
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 15 August 2026 03:23:46 GMT
95441
3688
224
182

Music

Download

Comments

jasmin58055
smie💞 :
saii sio wanaume tu hata wanawake tunaondoka kimya kimya bila kuaga🤌
2026-08-17 13:04:25
23
the__code__man
Mr_G_•°• :
kwanza kwetu sisi wanaume ku block mtu ni udhaifu 😂.
2026-08-17 13:30:42
13
herbsfrankies
Mwabila jr :
Mimi juzi tu hapa girl friend wangu from no where kanitext ananiambia mimi na yeye ameona hiwe basi, nikamjibu tu Sawa. tumeachana kwa maneno hao mafupi tu.
2026-08-17 09:21:14
12
yakuti635
yakuti :
amani niboraa kuliko ushindi
2026-08-17 06:03:50
8
iamfaizamohammed
faihy💫👑 :
mm ni wakike lakin ndo tabia yangu iyo😅
2026-08-17 13:34:10
4
mokaaa933
Moses john 🙏👊💪💪💪 :
uwkik brother
2026-08-17 06:35:43
2
sharifarajabu8
sha chumamy🌹 :
jmn achen Leo nilie😭😭😭😭😭 apa sitolia ten
2026-08-17 21:32:44
1
mr.hustler66
Mr . Hustler :
Siwezi kukublock nitakuacha ili ujue uwezo wa kukufikia ninao ila nimeamua kuwa busy name vitu vya msing..
2026-08-17 08:16:04
11
ms_niccah
ms_niccah :
😂😂 sikuizi wanaume Ndio mmekua mnajieleza sana hrf wanawake tunatenda😊
2026-08-17 20:01:08
3
devothadeus881
official_dee :
na sisi wenyewee ndo tupo hivohivoo
2026-08-17 18:15:36
1
khamomi_19
Khamomi_19 :
Hata sie gal pia 🥰
2026-08-17 16:44:41
1
soudshaaban
scarlet heart :
Kwa heshima tu
2026-08-17 09:12:25
3
jo_visuals16
@jo_visuals :
Ndo mambo yang ayo me sina moja kwenye mbili unaleta mazinguzi nadisapia ty akuna cm akuna text ndo nishaondoka teal
2026-08-17 08:09:37
5
user7008794635721
francJidder :
yaaaa we familia 👉👉👍👍
2026-08-17 10:15:06
2
user5493412127388
careen Tz😍❤ :
Hamtutishi 😅,,hata sisi pia tuna apply hio kitu🤣🤣🤣
2026-08-17 14:36:47
1
glowshinehub1
GLOW & SHINE HUB :
😀😀😀😀😀 kimya na mi kimya sis wenywe hatuna mudq wa kuumiza vichwa nwdeiz
2026-08-18 15:43:29
3
user820259947784
💦viraj.khan4️⃣5️⃣ :
hao ni sisi apa😉
2026-08-16 13:36:36
1
user8616530227811
user8616530227811 :
na sisi hata kama mkikiondoka kimya kimya hatuna mda wakupoteza
2026-08-18 19:07:12
1
evodear19
evvy64 :
Ata mm nafanya ivyo co wanaume peke yao😁
2026-08-18 10:05:03
1
preety.hannan
preety hannan :
Uhakika
2026-08-17 16:18:48
1
ndimbolau
Laurencia :
hahahahah jamaniiii wanawake hahahahah jamaniiii wanawake
2026-08-18 16:03:00
1
sarah79671
sarah😍 :
kuna huyu wangu kanitongoza kabisa na kujifanya anataka serious relationship gala kimya anakusalimia tu akutafuti tena kama zamani
2026-08-30 19:48:18
1
abby_de_jr
Abby mobile :
Nakubali family respect xana
2026-08-17 18:05:36
1
tiktokeruser863
tiktokeruser863 :
Same to women😄
2026-08-18 10:35:05
1
user4479536994301
zenah official @ ££"%% :
mbarikiwe
2026-08-17 05:44:32
2
To see more videos from user @younggiftedtz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About