@magufuli.3: dah ila wanawake😭😭😭😭

Jitu baya
Jitu baya
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 15 August 2026 03:45:48 GMT
266024
16825
1450
1522

Music

Download

Comments

mussakhalifa492
Mussa Khalifa :
zuwena amebadilika sana
2026-08-17 05:34:29
220
ryam.hassani
Ryam Hassani :
Alivyoitikia vile kama mtu kweli 🥺
2026-08-15 14:27:33
143
jackson.malidadi
Jackson Malidadi :
usiamini mwana mke yoyote duniani hata siku moja
2026-08-15 13:54:46
291
paultundu
Paul Tundu :
Viongozi wa serikali wajifunze kupitia hii speech ya Jpm
2026-08-15 06:35:13
131
khaledmhina
khaledmhina :
MAGUFULI WENDA ALIKUWA NABII ILA TULIKUWA HATUJUI
2026-08-17 06:47:32
66
teacherhussein08
salum hussein :
embu watu wakaee tumuombee dua uyu kiongozi.
2026-08-22 15:52:59
24
shole.masaka
shole masaka :
iv huy mzee alikufaje jaman au yupo atarud😭😭😭😭😭
2026-08-15 11:44:00
34
mohd_kindanda
KINDANDA_👑 :
yule zuwena wajana sio wa leo baba natamani ungemuona😔😔
2026-08-22 05:33:12
23
marcencore1
Oscar :
Nafikiri Katika maraisi walioipenda hii nchi kwa dhati na kuitakia mema kwa vitendo ni Julius Kambarage Nyerere na John Pombe Joseph Magufuli tuu.
2026-08-18 18:36:26
40
user1529427049756
user1529427049756 :
hizi clip za huyumzee hazichoshi kuziangalia yani clip moja utailudia adi utajikuta bando linaisha apoapo.
2026-08-17 16:33:49
45
davidseth934
DAVIS SHOP 🇹🇿 📊📉 :
sjui African sisi tulimkosea nn? Mungu
2026-08-15 16:35:15
20
user1690958440195
user1690958440195 :
bado Chadema walipita nchi nzima wakimsema vibaya huyu mzee sijui walitaka kiongozi wa aina gani
2026-08-15 17:08:55
55
manvet
manvet :
Daah😢😢 mzee tangu aondoke duniani nchi imekua kama yatima 😢
2026-08-16 10:19:43
15
daphonce1
MR Devi ms+ :
tutabaki kukukumbuka tu mzee wetu
2026-08-20 07:07:46
5
mopao886
Mopao :
😭😭 wa Tanzania tulipigwa na k2 kizito mno kwenye kifo cha makufuli
2026-08-22 19:39:04
8
mudikimwaga
Mudi Kimwaga :
Kuna mmoja hapo kama mtu mkweli 😭😭😭🤭🇹🇿
2026-08-16 17:41:59
6
kusah2366652213220
johnsonkusaya :
huyo wa pembeni mnauhakika alikuwa anaelewa
2026-08-16 05:27:58
6
ma.wawil0
Ma wawil :
ungekuwepo mpaka leo hii nchi ingekuwa mbali sana
2026-08-18 07:23:55
5
erick16604
erick16 :
ila mama yetu alikua anachochea moto t😂😂
2026-08-15 06:44:39
30
p.charles83
inzagi kussa :
Dunia bwana kumbe binadamu ni wanafki sana Yani mtu ulikuwa nae Leo anakugeuka kweli mungu uko wapi mungu
2026-08-15 15:02:39
6
misunjomoviespoint
Mr Movies 😌 :
"Kikulacho Kinguoni Mwako" ✌️R.I.P JPm 🔥🙏
2026-08-15 13:40:07
7
samweli.magoha27
Samweli Magoha :
mbona kama uyo mzanzibari alikuwa anasapoti
2026-08-16 12:03:42
18
stamphord2
Justin stamphord :
hv sik maelekez hay yanatolewa siwalikuwepo wote
2026-08-15 13:39:19
21
shahar8703
@Shahar :
kwani huyu rais Yuko wap? mi sijui chochote jamani ...naona kama bado anaishi hivi.
2026-08-15 12:02:02
11
ester.osward1
Ester Osward :
jaman hizi video tuzi sambaze waone labda wata kumbuka mana nikama wametusahau
2026-08-16 05:06:04
9
To see more videos from user @magufuli.3, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About