@terramotorscng: Replying to @Hunter🥇🏹 Hatuwezi wauwa, ges ni salama na vei rahisi, hapo unajaza full tank kwa buku (1000) unatembea zaidi ya 100km

TERRA MOTORS CNG
TERRA MOTORS CNG
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 15 August 2026 05:46:32 GMT
557884
19058
642
844

Music

Download

Comments

gidi1.005
Gidi1 005 :
size ya gas cylinder ya motorcycle?
2026-08-19 17:25:01
0
hassansaid2533
Hassan Said :
eee mbona shweee
2026-08-18 22:03:20
0
mwakamwakalukwa
Mwaka Mwakalukwa :
Good News
2026-08-20 10:02:23
0
joasmgisha54
Joreen❤️🔐 :
Mm boda ya mtungi sipandi ya ukianguka inalipuka kama bomu ya nini mm 😂
2026-08-15 10:01:16
172
_bei_nafuu
Shafii MNG'ARISHAJI💥 :
Nimevutiwa sana na usomaji wako wa komenti Kimya Kimya na kuanzia sasa tunaweza kuwa marafiki😂😂😂
2026-08-15 17:09:45
47
sydney_top
sydney_Top :
saivi tutasikia milipuko tuu tukiona vishandu
2026-08-15 07:04:18
70
_rmay1
r. :
mkifika kufunga gesi kweny miguu nichekin kak
2026-08-15 18:48:14
14
sebastianmasaka
Sebastian Masaka :
full tank ni elfu 10 au elfu 1? sijaelewa
2026-08-15 11:36:04
40
d.shakoor26
SHAKUR-MAKAVELI :
Mkiendelea hivi maendeleo yatakua kwa kasi sana
2026-08-15 17:42:55
11
tarikimuba27
TARIKI ALUMINIUM :
kufunga mfumo wa gesi ni bei gani kwenye pikipiki
2026-08-15 16:03:09
8
m.r.m_u_g_a_b_._66
M.R :
shing ngapi
2026-08-16 07:26:36
1
bahati.mhando
bahati mhando :
mpo dar wilaya ya dodoma mjini?
2026-08-15 09:36:21
7
mcrambet
mc Rambet tz. :
muko wapi ofisi zenu
2026-08-18 19:29:01
1
jayckizle
Janchi Millenial :
Jamani, kwa wale wengi msioelewa, Gesi asilia ina kasi ndogo ya mlipuko kuliko petroli.
2026-08-15 11:48:38
7
dadix._
Dadix._ :
Naomba utuneshee picha kamili na maelezo mtungi unakaa wap na vitu vingine …. Ili na sisis tuje utuwekee
2026-08-15 07:28:03
7
nurdin_masoud
Nurdin Masoud :
dodoma tunapataje hii huduma .?
2026-08-15 17:59:03
0
shafii.muya
Shafii Muya :
kwamara ya kwanza unaaza na sh ngapi?
2026-08-17 12:28:36
0
manji.05
Manji.05 :
Naomba kuuliza hivi ukitia iyo gas nilazima mafuta utie kwan??
2026-08-16 04:55:30
0
johnmuhoza3
john muhoza :
niomba nije kujifunza kaka
2026-08-15 23:02:56
0
josesway7
Jose :
haloo kama mpo dodoma mimi natia wese nakuja
2026-08-16 09:15:58
0
filbert.temba5
Filbert Temba :
bei gan huo mtungi wa gas
2026-08-16 07:01:31
0
erotello0
erotello0 :
Ina wekwa mapi location
2026-08-16 05:27:19
0
mh.mdee5
MH Mdee :
bahna unajuwa raha ya petrol ⛽ kila ukiskia harufu mzuka 😁😂
2026-08-15 23:17:18
0
uhalisia.h.moja
Uheri halisi :
iyo imekaa vizuri sana alie tuumba atuongoze vyema kwa hili🥰🥰🥰
2026-08-16 09:35:10
0
To see more videos from user @terramotorscng, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About