@talkboutitwithconradley: Dear X _Nipe Majibu #talkboutitwithconradley #tiktokeastafrica🇺🇬🇷🇼🇧🇮🇰🇪🇹🇿 #tiktoktanzania🇹🇿 #creatorsearchinsights

talkboutitwithconradley
talkboutitwithconradley
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 15 August 2026 06:03:25 GMT
219916
11806
433
622

Music

Download

Comments

jescar.mlosa
jescar mlosa :
siwezi Bora niwe na nabii tito
2026-08-15 13:30:02
146
mariam.issa353
Mariam Issa :
nimerudi kwa sababu uko nje kila mtu ni wa mtu😂😂
2026-08-16 08:52:20
73
user1211847141680
Hamisikanyonyi70 :
kiufupi mi siwezi kumrudia ex wangu..
2026-08-15 06:09:27
130
zay_imba
Zainab imba :
mi nateswa na upweke tu
2026-08-15 07:46:27
46
mwangomomagreth
I am magreth :
X harudiwiii mbona kila Kikao Tunakumbushana wajumbe
2026-08-15 07:16:16
64
safiaommycosmetic
SafiaOmmyCosmetic :
Mm Nimerudi Kwasababu Sijapata Kama Yeye ! Yani Combo ya Mm na yeye Niya Moto sna! Ni Mtu Ambae Ananifanya Niwe Huru na Peace of mind!
2026-08-15 12:23:58
32
abbybrowntz
abby brown :
bro mara kwa mara unaongelea mapenz sana mapenz ayana mjuaj sana na ayahitaj ushaur sana na kila mtu ana hali ya mapenz anayopitiy na azifanani. tanzania vijana tunasumbuliw na umaskin na kujitafut katik maendeleo. rupe madin ya pesa na madin ya maisha bro mapenz sio kipaumbele kwwny life just advise bro
2026-08-15 11:15:51
27
momobeauty03
M.R.S Frank OG🤭 :
sisi tuliachana na mimi ndiye niliye muacha na umepita mwaka sasa na tushapanga hadi mahari msikariri kuna muda peaneni likizo
2026-08-16 04:28:42
10
queenshta
Shazzy :
muwe mnatupa moyo jman wangu tumerudiana akidai ameangaika lkn hkupata kma mimi,,mpka sai waga yuaniangalia kisha husema beb wallah true luv is rare...sitawai kuumiza tena wala kukupoteza.. na sai analeta mali mwezi ujao tufunge ndoa...
2026-08-15 13:23:00
10
b.r.o.w.ns
🫧_B.r.o.w.n’s🧸🤎 :
Mm na ex hatuachani mkuu yan ngum kuelew😂
2026-08-15 09:40:49
17
kingu20204
Nzitu2020 :
Tuliachana mwaka mmoja tukarudiana na mpaka sasa tuna 9yrs na watoto 2
2026-08-15 21:17:26
14
mariamakungwa
Baby candie :
mazoea magumu.kaka mahusiano.mapya magumu sana
2026-08-17 18:54:15
1
nlm2909
Ms. Nice :
x harudiwiii😅😅😅😅😅😅 unless your looking for something
2026-08-15 13:15:33
1
ashaturkey
asha turkey 🇹🇷 :
😂😂😂 mm sijui ila anakimya badae anakutafuta akitqka kujua uko wapi na unafanya nini kiukweli simuelewi
2026-08-15 08:14:25
9
gift.term3
Gift term :
Kaka uwez amini maumivu yamerud mara 2 kudakek Alaf saiv anamtuwake yan najuta najaribu ni move on nashindwa 💔💔
2026-08-15 13:34:25
5
florahnju
Being___judie💕🎀 :
Najuta hadi leo🥹😭😭 bora ningekataaa tu
2026-08-15 08:27:15
8
rosemyna1122
🦋 Myna Trends❤️ :
Uyu ex wangu nishamkataa nimeblock kila kona lkn ananisumbua sana sijui nifanyaje 🙌
2026-08-15 15:17:50
0
assmulimited
assane shop :
upweke tu kuna mda upati trna mtu kama yeye na akirud unaamua kurud tu ila ukwel maumiv yanakuwa mara mbili yake
2026-08-15 07:15:43
13
shunu372
shunu🥰wake🥰 :
mm naona ni ujinga tuu kuludiana na mtu ambae mlishashindwana apo awal ndugu zng nisipopata mpya mtanizika nikiwa singo ivi ivi
2026-09-11 19:55:39
1
wasaikiasi
wasai kibet :
true love never dies
2026-08-16 03:07:19
0
msusi10
♍️ Binti arsenal🌚 :
Ni mm tu huwa siwezi kumrudiana na mtu 😳😳😳 au Nina matatizo
2026-08-16 07:05:06
3
kwamboka2543
Never mind :
Mm niko naye lakini simu yake nikiguza naona moto lakini yangu anaiguza always any advice guys 😁
2026-08-16 08:41:51
0
hidayamohamedi559
Hidaya Mohamedi :
Nilimiacha miaka 4 nikaanzish maisha yangu na hiashara naw sasa amerudi na kwenda kwetu na tare ya ndoa imeandikwa ikiwa nyuma tuliishi miaka 10 bila barua wala mahari,, asante mungu wangu kwa kujibu maombi yangu,, maana nilimuomba mungu anionyeshe yupi sahihi kati ya baba watoto wangu hiyu na mwanaume meingine nilianzisha naye mahusiano na alinipenda sana na kunijali,, ila mungu kanionehsa huyu ndo wangu🙏🙏
2026-08-16 09:19:27
4
saidanelson44
the blessed woman :
wengine uona ukiwa na furaha anataka kurudi tu hili akumize vizuri
2026-08-16 17:40:30
2
urioirene23.4
urioirene23.4 :
Nikwasababu specifically yeye ameona nin akarudi??? Kwann yeye aone mim ni mtu sahihi?? That’s enough!! Kujitesa sitaki😏
2026-08-15 16:34:40
2
To see more videos from user @talkboutitwithconradley, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About