1/Jumanne Indian
2/Leah Mudy
3/???? Nimemsahau
4/Aboubakar Mzuri
5/Kala Jeremiah
2026-08-16 09:20:37
25
Geezyjr097 :
Alimaliza wa 3.....1.Jumanne idd 2.Kala Jeremiah 3.Abubakar mzuri
2026-08-29 07:27:36
6
saadamosh :
nilikuwa na mfananisha na q chilla aisee ni noma🥰🥰
2026-08-18 11:42:32
7
khadja🥰 :
hatmae nyimbo niliyokua naitafuta mda mrefu nmepata😊
2026-08-21 09:16:29
6
iddi manga :
Mshidi wa kwanza wa BSS 2006 ni Jumanne Iddi uyo Abubakari Mazuri ni awamu ya 4
2026-08-17 04:26:08
7
rama gama :
Abuu sijui yupo wapi uyu mwamba
2026-08-21 06:36:36
4
Llysts...best of soukous :
mandugu digital kwenye beat
2026-09-03 09:17:55
1
filozdanji660 :
juma4 iddy na sio abubakar mzuri
2026-08-17 05:20:08
3
lucamweusi :
Yuko wapi siku hizi huyu mwamba
2026-08-16 21:57:07
1
Karim acro :
Leo ndo nimejua ukweli mana nilizani nyimbo ya Qchila😁
2026-09-03 08:43:23
2
Yoab Amosi :
uongo jumanne iddi(j .4)ndio alikuwa mshindi
2026-08-16 08:46:14
3
msabila83 :
ulikuwa wapi wakati ngoma hii inatoka
2026-08-17 16:04:00
3
Amir Mkiva :
ujuh kitu kaa kmya mshindi wa kwanza bss jumanne iddi
2026-09-04 21:43:27
3
Jacque Cutee❤️ :
Mshindi wa kwanza kabisa wa BSS alikuwa Jumanne Iddi bhn
2026-08-31 19:38:33
4
SUZUKI :
Yupo tabata segereA
2026-08-30 17:04:39
2
Pato Nistelrooy :
humu joseline aliua sana
2026-08-28 21:36:23
6
MFANISI :
wa kwanza juma4 iddy
2026-08-16 11:21:36
5
amy_ :
ila guys nyimbo za miaka yetu tupo vijana enzi hizi zilikua noma sana kuna moments flan unakumbuka kpnd icho mdgo huna hela wala maisha ila still watu walikua na furaha, nowdays ata marafik hatuna weng waliopo machawa ukiwa na kitu ni rfk ukikwama humuoni😔
2026-09-04 17:09:29
2
Pato Nistelrooy :
2008
2026-08-28 21:35:23
1
cute naomi :
abdubakal mzul
2026-08-28 15:30:26
1
Thomas Jeremia :
Nikajua Q chief
2026-08-29 02:10:58
2
ZOLONTO :
YAANI NILISHANGAA SANA KUFANANA SAUTI SURA YAANI Q CHILA KABISA
2026-08-28 09:21:52
3
yusney88 :
Abubakar Mzuri hakua mshindi ila alikuwa no3 mwaka 2007!!
2026-08-15 09:46:27
3
Amiry Chegamila :
🤣😂😅😅😅🥰🥰🥰🥰kitambo sanaaa
2026-08-24 21:48:01
1
Juma Kona :
kapotea na ngoma hii tuu ila ilisumbua sana
2026-08-16 17:41:37
3
To see more videos from user @robartifabian, please go to the Tikwm
homepage.