@mamasubmeter_tz: 📞0713130595 Location: Kariakoo, Lindi & Congo Product: single & three phase meters Submeter sio kifaa cha ziada ❌ Ni suluhisho la migogoro ya umeme, hasara na malalamiko ya kila mwezi ⚡ Kama unauza au unafunga vifaa vya umeme, hii ni fursa 💡 Elimu sahihi = wateja wa kudumu. 📩 DM kwa ushauri na huduma. #SubmeterTanzania #UmemeTz #VifaaVyaUmeme #ElectricalSupplies #HardwareTz
MamaSubmeter_Tz
Region: TZ
Saturday 15 August 2026 06:30:13 GMT
Music
Download
Comments
Haika :
😁😁 jump jump no position 🙌
2026-08-17 04:33:29
0
Luka :
to kujaza theree... Asanteee mama submiter! 🤣🤣🤣🥰
2026-08-18 15:37:39
0
GoDWiLl :
token zinakujaje mbili 🤣 sasa
2026-08-15 13:44:01
34
Beatrice kalinga :
Umeme kwenye sub merter unakuwepo mita kubwa unazima shida nn🤔
2026-08-16 05:52:21
6
emanuelngowi6 :
Kwanni ujaze kwenye mitar kuu kwamba utakua unanunu umeme mrA 2
2026-08-16 13:32:36
1
Cruzy Harris :
Token zinakujavipi mbili? ndo sijapata SoMo vizuri ndo maana nashindwa kununua hizi submeter
2026-08-16 09:29:46
1
Nøĥẓ̌ :
😂🤣 usi2fokee sasa mama submeter
2026-08-16 05:41:21
1
Gido shayo :
sister usituchanganye bana wewe sema unatangaza ksbiashara kako hapo kariakoo tuache na maisha yetu.
2026-08-16 13:48:32
1
lee_pyun :
yaan nisifagie nianze kukusikiliza kwel
2026-08-16 13:23:05
0
️ :
Ukininua umeme unapewa token 2?? au mpaka uwe na sub meter?
2026-08-15 10:55:24
0
user1781067238077 :
kama mita kuu ipo juu ya nguzo?
2026-08-15 16:25:23
1
Sasha baby :
unaweza kuwa na wa tanesco alafu ukaweka sabmita
2026-08-15 18:16:23
0
mzawa dreadlocks :
nakwann isingekua unaweka kamaivyo kwenye mitakuu kinachochosha nkwamba uweke kwenyemita kutena ndouweke kwenye sabu MITA ndokelo sasa
2026-08-16 07:37:36
0
Evalinemasambe2 :
nipe namba yako naweza nikakuhitaji
2026-08-15 17:55:55
0
zephany :
sawa dada
2026-08-15 17:55:10
0
dijababy :
tumesimama
2026-08-15 10:24:12
0
One dream Autospare parts :
sijawah kuoma Token mbili
2026-08-16 08:36:15
0
Tauhida msingwa :
iyo kaz ya kuingza Mala mbili mbili mda huo sna
2026-08-16 08:42:54
0
comfort zone shoes 👞 👟 :
sasa kwann mmeweka mita kuu juu ya nguzo c tutawekaje
2026-08-16 11:14:25
0
Marylucy :
nunua umeme wa mfano alafu tuoneshe "tokeni ya kwanza ni hii ndo inaingia kwenye TANESCO,na ya pili hii inaingia kwenye submitter
2026-08-16 05:51:31
0
xęe :
Ila twende na Ukweli, submeter hazina UMUHIMU wowote. Umeme bado unatoka Tanesco tu.
2026-08-17 07:21:19
4
Trice8864 :
Na kwann unaponunua huo umeme makato makubwa pia umeme unakuwa kdg sana 10k huwa ni unit28 lakin hizo Payless 10k unapewq unit 24. Why?
2026-08-16 09:06:35
0
mr icon :
Ongea haraka basi nachoka kukusubiri umalize
2026-08-15 16:14:32
0
vikram :
c bora uwekeee t ya tanesco 1 kwa 1 t mazonge yte ya nn ayo
2026-08-15 13:04:50
3
To see more videos from user @mamasubmeter_tz, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.