Hamjanishawishi narudia hamjanishawishi wakuu jembe naliweza sana tu😂😂😂😂😂
2026-08-15 06:56:38
18
Hanny2804 :
Kwan Tanzania Safarii au TBC hawaoni dhahabu hii
2026-08-16 12:01:00
28
Mr. NEP (H+H) :
naomba unifahamishe namna ya Kua na confidence
2026-08-24 08:22:39
5
kihogo wakuru :
hiyo wabadu kakatabahu inamaana gani Jaman
2026-09-08 05:27:35
4
BBJ :
just now
2026-08-15 06:57:03
2
Ninti :
nipo tayari
2026-08-15 06:55:51
2
Loveliness🕊🐞Adventure :
so creative in narration
2026-08-20 20:12:55
4
BOLD :
twende bandani mzee tuko nje ya muda😁😁😁
2026-09-13 20:58:59
5
SHAKUR-MAKAVELI :
NDUGU MSWAHILI NAKUTABIRIA MAKUBWA SANA
2026-08-17 08:46:34
1
jov :
fursa ni fursa
2026-08-15 07:02:37
3
user7805969659470 :
kwan hicho ni kilimo au ufugaji me nashindw kualewa
2026-08-17 18:24:17
2
Faustine Mafwele... :
una atari bro nimekukubali
2026-08-16 18:21:25
1
tina :
dah unajua sana
2026-09-03 18:18:43
1
Mr Heart Broker👣 :
🖖🖖🖖🖖 wakwanza leo👣
2026-08-15 07:10:52
1
Madollar..💰 :
DAAH Kaka AZAM TV wakutizame wewe au hata TANZANIA SAFARI CHANNEL unajua sana kaka
2026-08-18 17:27:52
2
Kituo cha afya by DR:RASHID :
nikiwa mpenzi WA Kiswahili nikiona hiii nafarijika kabisa
2026-09-08 15:02:02
1
Adamnice Ngonyani :
jamaa linakipaji hili😂
2026-08-25 19:16:37
1
jcode357 :
dawa moto ni moto lakin sio moto wa nyoka apana sina safii moja na hizila eli
2026-08-22 22:31:16
1
platmoon :
JJ, tour guider, hii kubwa. Simulizi na tafiti zako zinatupatia fursaa, iyo nzuri.. kwenye mpira wa miguu tunamfalme Ronaldinho LAKINI kwenye maudhui ww ndio MFALME, unajua kunyumbulika, kwa namna ya masimulizi na elimu.
2026-08-15 07:15:35
6
Zagga_tz :
well done bro,unanifurahsha sna kwakwel
2026-08-17 08:55:10
1
~QUE__daddie~ :
kaka unavipaji vingap
2026-08-15 07:03:16
1
annunassor :
Kwa mi hapana kaka rabda mladi mwingine tashiliki 🤣😂
2026-08-17 15:05:04
1
xavi :
sauti hii inahadhi ya kimataifa
2026-08-15 06:55:47
1
Falcon official 99 :
Nipo tayari njoo tufanye kazi
2026-08-15 07:07:50
1
BABA MII :
Pesa naipenda ila hicho kilimo😂😂😂😂
2026-08-15 07:00:46
1
To see more videos from user @sisini_sisi, please go to the Tikwm
homepage.