@wings_og: #fyp #zanzibar #tanzaniantiktok🇹🇿 #viralvideo #kenyantiktok

Wings_OG
Wings_OG
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 15 August 2026 06:37:26 GMT
290713
40959
504
928

Music

Download

Comments

kutiana.com
𝐃𝐉 𝐃𝐄🇹🇿🇨🇦🇺🇸 :
haya yote vijana tumeyataka wenyewe tusimlaumu mtu kabisaaa uwezo tunao ila kumuweka uoga mbele tutakufa sana
2026-08-15 12:55:53
280
abuu.tafeti
Abuu tafeti :
majeshi yetu yamepewa jeuri sana wanafanya wanacho kitaka
2026-08-15 08:31:37
167
zhumbe_
PETER MANONGI :
halafu....... baridi hawezi hata kuelezea anavyojisikia hii inauma sana🥺
2026-08-15 08:27:44
202
tittle.b1
Tittle B :
😭😭 jah at bless mzee
2026-08-17 08:43:46
1
zacharyemmanuel22
Zachary :
pol san brother
2026-08-17 19:27:48
0
user28784428248807
irene josephy :
inauma xan
2026-08-15 08:02:15
40
user9363541991530
Donald prosper @gmail.com :
big family
2026-08-17 14:40:04
0
suntinpage
Suntin :
Mimi sinalia HIP-HOP 🔥🔥🔥
2026-08-18 01:21:20
0
yuzzohtizzoh1
yuzzohtizzoh :
Polen San wakup
2026-08-16 07:26:17
0
uromi.jh.piere
Uromi Jh Piere :
roho inauma kwakwel MUNGU awatie nguvu ndugu zetu
2026-08-15 08:10:52
40
mnubii.mkondoa.tz
MNUBII🎥 mkondoa🌄 tz✅🇹🇿🇵🇰 :
ila hiki kifo kimetuumiza sanaa tena sana tuu Mungu mpumzishe ndugu yetu kwa amani 😭😭🙏😭😭😭
2026-08-15 11:28:07
50
rushaina723
. :
Cjui kimemkuta nn ilaa amenihuzunishaa kwakwel😔😔
2026-08-15 18:02:04
18
kablaujanielewa
HarryBoy :
polen sana familia 😭😭😭
2026-08-16 21:02:55
10
officialgreyog1
OFFICIAL GREY OG :
imagine n mtu wa kawaida kafanya ilo jambo unahisi wangemfanya nn asiee. inauma sana sana. inauma polen sana wanangu 😢😭😢
2026-08-15 10:17:09
26
user6296962554830
z.w.d official 💞💞 :
Daaaah 😭 😭😭😭😭 hich kitendo inauma sana dah
2026-08-15 10:10:44
11
itsmreno18
Mreno :
daaaaah inauma san
2026-08-15 07:54:00
7
titowambinguni
🗣Tito from heaven🇹🇿 :
hivi vifo ipo siku tutatolea hesabu 😭😭😭 ukiona mwanaume analia daaah hii imeniuma sana
2026-08-15 16:03:51
13
gracyjeshua
gracy :
yupo mungu anaeweaza kufanya yote atalipa kwa kudhulum nafsi ya mtu asiyekua na hatia
2026-08-15 11:07:15
13
user2069028311586
Nurdin :
Huyu dogo anaonekana kabisa analia kwa uchungu sana tu yani daah noma sana
2026-08-15 13:19:58
8
pryphone
paulah.xoxoh Tz :
siaminiii bado sefu wangu aaa😭😭 babaah aseeeh lakini takumic enyew matejoo wangu
2026-08-15 12:56:03
8
jr.boy2105
jere :
inaumaa wazee
2026-08-15 19:07:57
0
sebastianpete
#Usel@ Pesa :
poleni selaaa dah
2026-08-15 19:16:43
1
To see more videos from user @wings_og, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About