changanya na majina ya Allah utapelekwa mpaka Hajj😅😅niulize na sikua na shillingi😂😂Semeni Takbir
2026-08-16 21:24:56
131
glam_by_rahumy :
UKIDUMU NAYO MAISHA YAKO YANAKUWA MAZURI KABISAA BILA KUSAHAU SWALA TANO USWALI
2026-08-15 18:43:11
76
MATALA WA PILI :
Mwenyezi Mungu kasema musiache kuelezea neema za Mola wenu mlezi, nami nitoe ushuhuda swalat ala Nabii imenitoa katika depression Alhamdulillah
2026-08-16 21:33:18
45
@ its_Asya :
hakika Swalat Aala Nabbi nikiboko ya shida zote za dunia
2026-08-16 08:00:43
52
Maalesh. :
Allahu akbar tusiache kumswalia mtume na haswaa huu ni mwezi wake,ama mafanikio yake ni mengi kubwa unapata utulivu moyo...
2026-08-15 14:46:21
93
BrOwNBeAr🧸🤎 :
Alhamdulillah☺️🌹
2026-08-15 19:19:57
29
king_omar :
Mimi ndio nna ushuhuda alhamdulillah nimeomba swalatu alaa Nabii ijumaa jioni jmosi asubuh hicho kitu nimekipata nachrka rohoni kwa ushindi na hicho kitu kimechukua muda kukipata nikasema you knw nimechoka wacha nisome swalatu alaa Nabiii uwiiii alhamdulillaj
2026-08-15 18:49:54
22
Ismail :
WALHI HATA MM NINESALIA MTUME SAW WALHI SAHI NIKO DUBAI .NCHI NILIKUWA NAOMBA NIENDE
2026-08-16 13:07:18
17
Fatma Sparkle :
subhanaAllah kuna mtu aliibiwa karibu laki kadhaa, hundreds of thousands, it was a fraudster wa online. akasoma swalatu nariya nyingi sana kama ma elfu akasema kesho yake aliyemwibia alimrudishia pesa zake aliona account imerudishwa pesa. subhanaAllah kuna pia nyumba ilikua na uchawi na watu ndani walikua wanapata shida za kila aina, wakasoma swalatu Nabii SAW elfu moja mpaka kukatokea ndege mweupe na nyumba ikaanza kuwa na mwangaza na wakaeza kumuona mtu aliyekua anawawekea uchawi kwa gate. subhanaAllah story za swalawat ni nyingi sana. na surah baqarah pia ndio nyengine aisee hatari!
2026-08-16 17:58:26
15
Royal queen :
kisa changu tofauti mm nilikuwa napita mahali kwa estate gari iko nyuma yangu yanipigia honi sisikii coz nilikuwa buzy namswalia Mtume gari ikanifikia na kunigonga kwa nyuma mara kidogo watu wakanizingira kutokana na kishindo Cha ile gari kuangaliwa Niko mzima kiatu ndicho kilinitoka kwa mguu na socks watu wakaniangalia kwa mshangao nikavaa kiatu changu nakuwenda zangu sikuumia popote Allahu Akbar...ni Swala Alaa Nabii👍
2026-08-17 09:32:21
15
salhia🦋🤩 :
si unasema Allahuma swali wasalimu Alaa nabiyyina Muhammad kwaidadi utakayo weza au nijibu tafadhali
2026-08-17 06:30:03
5
Bwanaobo Muhyiddin :
Haina shaka kabisa mia fil mia, muhimu ni ikhlasw, na ukijuwa unasema nini inakuwa na nguvu zaidi, na ukihimiza watu wakimswalia basi una fungu lako kila akiswaliwa
2026-08-16 11:25:14
8
piiwizzy :
mimi ninaushuhuda wa swalat ala nnabii, nilikua na gari yangu nataka kuiuza ikawa shida kuuza kwa muda tu, usiku mmoja wa manane nikafanya hizo 1500, by kesho yake mchana, napata wateja watatu wanaigombania, mwishoe nikauza bei ya juu zaidi ya nilivopanga awal
2026-08-18 08:06:10
7
MUHAMMAD123 :
naku follow sababu ya video hii tu Usicheze na Kumswalia Mtume MUHAMMAD S.A.W
2026-08-15 17:31:58
9
sumy :
Allahuma Swali Wa Salim WA Barik ala Mohamed 🥹
2026-08-15 15:33:41
7
Riri white :
ukichanganya na alamnashirah 41 kila siku Allah anakupa utakacho
2026-08-18 19:48:14
4
Feisal Khalid Kgalid :
shukran
2026-08-16 12:43:39
1
glam_by_rahumy :
SOMA ALWAHUMA SWALI ALAA MUHAMMAD YARABI SWALI ALAYHI WASALIM MARA 33 MARA 100 UNAVYOTAKA
2026-08-15 18:41:01
25
@umraah🥰❤️ :
mimi mtu aniandikie tafadhari nawaombeni
2026-08-16 17:30:53
2
Lydia :
Am a Kristian naeza soma bila kuwa na tathubii na naomba uniandikie hizo swala please
2026-08-17 19:58:16
1
Mariam Mchome :
mimi nambiwahivo nitafanya kwakweli mana nina magumu mnoo
2026-08-17 09:29:50
2
shuub :
nikweli kabisa
2026-08-17 05:23:09
1
mamu :
tuandikie yote ndio tueze kusema
2026-08-17 09:13:54
1
Suda the mamy :
muda gani jamanii ama muda wowote tu
2026-08-15 19:09:35
1
Halimaa Ali :
swalallahu Allahy wasalam
2026-08-16 09:02:28
1
To see more videos from user @najlafuadahmed, please go to the Tikwm
homepage.