@www.tiktok.comwaswax: #fypシ゚viral #tanzaniantiktok🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪 #ugandatiktok🇺🇬 #congotiktok🇨🇩

Mkolechi-wa-swax
Mkolechi-wa-swax
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 15 August 2026 07:22:53 GMT
394356
19550
891
4604

Music

Download

Comments

upendo.mwelele
Upendo Mwelele :
Hakuna linaloshindikana Kwa Yesu
2026-08-15 13:22:22
443
jaykamasaku
JAY@COUNTY-016🇰🇪 :
Je vyakula za Ramadhan Je?
2026-08-15 15:23:38
33
erick.clemence
ERI MSAFI :
ndoman chief godlove alikuwa anagawa Michele ap ndo nimeelwa sasa
2026-08-16 09:44:58
24
mellisaviojen
mellisaviojen🌹🌹 :
Chief Godlove
2026-08-19 06:23:23
4
mamuuaj
Mamuu AJ :
Takasa chakula kwa Damu ya Yesu kula
2026-08-15 16:43:58
160
user8386201280698
froz :
yaan nitahudhulia sherehe zote nikiwa nimepiga fire tutakula vya kufisha na havitatudhulu in JESUS NAME AMEN 🙏
2026-08-16 06:07:32
35
suzan.feer6
Suzan Feer :
I don't trust it kila mtu anabahati yake hizo ni Imani zenu tu
2026-08-15 15:42:39
11
malikizo12
Malikizo :
Vitu km hivo ukiviamini vinaweza kukuasiri kisaikolojia.maana ukivipa nafasi kuviamini hutaweza kufanya yako kwa Amani. Siri ya mafanikio ni kufanya kazi kwa bidii na kumtanguliza Mungu.
2026-08-15 17:33:21
43
user2518404369373
happymack nkana :
leo umeongea kitu ambacho nichakweli kabisa
2026-08-15 10:31:09
31
starlee_neylee
MISAMBA BAR MOTORS :
itakuaje mim ninae beba nyama kwa siri kwenye sherehe na sinawagi mikono duuuh
2026-08-15 11:10:49
14
singlady4
singlelady🥰 :
naona huko saudi Arabia wanafanya hivyo
2026-08-15 19:07:42
5
judithmollel
judithmollel0 :
Kwan mlikuwa hamjui tena ogopen watu wanaogawa vyakulaaa kuna rafik yangu aliniambiaga usiwe unaenda kila sherehe n hatar 😂 na yeye huwa nahs ana huo uchaw couz alkuwa mtu wa kawaida sana mara ghafla akaenda Iringa kakaa kama miez minne tuu kurud n ana hela
2026-08-16 12:38:19
10
lecho_collection
Recho_collection :
huwezi kumzihaki mungu na nahao wezi wanyota mungu atabaki kua mungu hata huo uhai ni nyota tosha 🙏🧎‍♀️sema Ameni
2026-08-15 20:05:30
16
lightnesomary682
Lightnes Omary :
kaka hilo nalijua kule kwetu wanafanya yani hata punje haitupwi na maji ya kunawa wanayachukua chini wanatandika mazulia tunakula wanafunga mlango mkimaliza mnanawa wote ndio mtoke humo ndani Jaman ng'ombe serathini zinachinjwa tunalishwa karibu wilaya nzima ila nilikuja kujua nishashiba jaman 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙏
2026-08-16 17:25:39
5
mamy.console
@ victime de la grâce :
he dunia ina mambo
2026-08-15 11:03:09
6
tm78277
TM :
achana na Mungu baba wa Yesu ashindwi na chochote
2026-08-15 15:20:38
17
annamutua965
annamutua965 :
I have witnessed this with my own eyes in Mombasa count number of times.
2026-08-31 17:52:52
0
hazinalulu
lulu :
Mimi nakataa kuw anaetumia uchawi na anaemwomba mungu hafanikiwi si kweli labda iwe hajui kuomba , mungu ni above all
2026-08-16 15:59:05
5
laizer.tz.2
Laizer Tz 2 :
Tumuwamini Mungu atatuokoa na hili
2026-08-15 14:12:43
5
userjoycetematema
joyce tematema :
Mungu ni mshindi siku zote, hashindwi nakitu
2026-08-15 10:20:11
5
wazfa.mgweno
UHURU MCHANGANYIKO :
mhhh ili czani km tumechomoka wengi tumenasa ...ila mungu yupo
2026-08-15 12:43:24
14
user9520069887863
Sharif Mdigo :
Yesu hakuna kitu anacho kizuwia ila Mungu Alie muumba Yesu na mamake yesu ndo kwake hakuna linalo shindikana
2026-08-15 15:24:30
5
perpetua4874
Perpetua :
Kwan binadam anazid uwezo Mingu?😳😳
2026-08-15 13:52:30
5
user3226553214241
awa phiri :
heeee.mm.siende.tena.kwenye.sheree
2026-08-27 09:53:39
1
judit.judith
Judith ✝️ :
Aya mwananetu amejuaje
2026-08-28 06:50:22
0
To see more videos from user @www.tiktok.comwaswax, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About