kweli akuna hela ya Bure hata bwana yesu alivua samaki aialipa Kodi inamaana alifanya kazi
2026-08-17 06:05:39
0
l'étoile du berger ✨ :
Amina 🙏
2026-08-16 08:12:13
0
elviskenny18 :
kitabu gani
2026-08-15 17:15:33
0
djems babu 072 :
inapatikana ndani ya kitabu gani na amri zamungu yakwanza anasema usiwe na miungu mingine Ila mimi
2026-08-18 11:35:33
0
BIG - T :
naomba andiko tafadhali
2026-08-15 13:30:46
2
kevin sakwa :
kumbe kwenda illuminati si mbaya bora natumia kwa wema
2026-08-16 06:31:10
0
Elviks_7mil :
Asichokijua Sule, kuwa Yesu hakuwa mtu wa kawaida, angeweza Hata kuondoa hayo madeni, wadai wakayasahau dhidi ya wadaiwa, lakini Bwana Yesu akaagiza Peter aende baharini kuvua samaki. Kumbuka Pearl zinatoka kwenye samaki na ni bidhaa yenye thamani, Lakini Sule anatuambia habari za Majini.