@dr.rich28: Pata suluhisho la uhakika la kurejesha afya na nguvu zako za asili leo. Wasiliana na Afya Prime kupitia namba +255 757 955 569 tukusaidie kuchukua hatua sahihi kwa ustawi wako. #tiktoktanzania🇹🇿 #trendingreels #fyp #outfit #AfyaPrime

AFYA PRIME
AFYA PRIME
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 15 August 2026 08:18:19 GMT
66439
2348
42
755

Music

Download

Comments

judithmollel
judithmollel0 :
Huyo mm tokea nmejifungua kwa Sc yan kumbukumbu cna jaman😭😭
2026-08-17 08:53:39
5
user9488187395030
user9488187395030 :
asante sana na pia inasaidia hata kwa watoto ambao hawafanyi vizuri darasani?
2026-08-16 16:17:41
6
user4730855754182
user4730855754182 :
Kiota nini
2026-08-17 06:19:10
1
mankakwq
Memorable7 :
ndio nianze kuongea kama chiriku hapana kwakweli 🙏
2026-08-17 16:26:01
5
asantemacha
Asante Macha :
hapa sayansi ni ipi maana ndege anatengeneza kiota kwa majani ya mimea mbali mbali sas nashindwa kielew uhusiano na kumbukumbu unakukaje apo
2026-08-17 18:10:15
2
kidonaah
kidonaah :
Nimechekaaa comment et nianze kuongea Kama chirikuuu😂😂😂😂
2026-08-18 05:41:16
1
taimoor_298
taimoor_298 :
Wakwangu kataga baada ya kumfanyia
2026-08-18 14:45:00
0
dianandungu248
Dwd :
kiota chandege ni nini
2026-08-16 19:56:04
0
jlyn.beauty
jlyn beauty :
ninacho mlangoni kwangu
2026-08-17 07:43:48
1
lajoieavoligmail
[email protected] :
kiota ni nini
2026-08-17 05:54:08
0
ramadhani.lusunga
Ramadhani Lusunga :
iyo miti waliyojengea unaijua? ikiwa sumu?
2026-08-18 14:05:56
0
abigael.justin81
Abigael Justin :
inasaidia kurudisha kumbukumbu au kufanya mtu aongee ?
2026-08-18 12:29:09
0
user3866325617913
Nyika Mwita :
nakubari
2026-08-15 09:20:32
2
shaloom959
shaloom :
mmh!
2026-08-16 20:39:02
2
williamjr3200
william senior :
kama kuna mavi ya ndege je??!
2026-08-18 05:58:03
0
user4410133310606
user4410133310606 :
tuoneshe kiko namunagani
2026-08-17 17:19:07
0
user8349786694290
user8349786694290 :
dokta naomba dawa ya goita
2026-08-16 19:22:35
0
aishamsemwa548
aishamsemwa548 :
nest
2026-08-17 14:18:03
0
elyse4246
Elyse :
kwani lazima kiwe chungu
2026-08-17 05:09:21
0
simonsafari855
Simon safari :
kiota njo chicha ao nyumba ya ndege?
2026-08-17 10:15:57
0
jumaissa861
Tsoi :
ndege baada ya kurusha watoto au anytime
2026-08-18 06:41:09
0
andrewautopaint
Andrew Auto Garage :
Hapo si ndo atakuwa anaongea sana hata hakumbuki aliongea nini jana au mindo nimeelewa tofaut kuongea na kumbukumbu ni vitu viwil tofauti
2026-08-17 20:51:22
0
user5218515061358mulisa
mulisa :
roho kamili
2026-08-17 21:02:13
0
kakamkuu7
kaka mkuu :
we mzee utaua watu! sasa kiota cha ndege kina miti mingi na huenda mengine ikawa sumu
2026-08-18 03:39:49
0
To see more videos from user @dr.rich28, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About