@zuu_madira_pambe3: Mashallah mashallah kanga Dress pambe Bei:20000 📲0628255667 free size Duka lipo tabata baracuda au kituo kipya karibu na kitambaa cheupe Bar #tiktoknairobi🇰🇪 #tiktokugandakampala🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬 #tiktokburundi🇧🇮tiktokrwanda🇷🇼 #usa🇺🇸 #tiktokcongokinshasa🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Zuu_madira_pambe3
Region: TZ
Saturday 15 August 2026 08:20:48 GMT
Music
Download
Comments
Wafaa Mbuma :
bei gan
2026-08-16 07:34:40
0
Muu-🥀 :
Mnaouliza shilingi ngapi si ameandika hapo kwenye caption
2026-08-15 15:12:52
2
mgonjaaa :
nimeipenda aloovaa
2026-09-17 05:48:40
0
Mum Godwill :
hili tamu kweli
2026-08-16 11:20:09
0
mkamba :
haya Bado yapo
2026-09-19 10:56:36
0
John Kazibola :
shilingi.ngapi
2026-08-15 09:18:18
0
Sapphire💎 :
Kenya twapataje,una wakala?
2026-08-27 07:26:16
0
aminarajab470 :
za Kenya ngapi
2026-08-16 05:35:05
0
Ndoji Mbinga :
dada mm Niko mkoani napataje
2026-08-25 17:54:29
0
mgoda00 :
za asha boko zipo
2026-08-15 16:53:26
0
Amina57 :
mi nataka nipo mbagala kizuiani tafadhali
2026-08-28 15:03:56
0
Minah36 :
Nataka Iki mamii
2026-08-22 15:20:12
0
Mrs………….🦋🦋🦋 :
Nyie mnauliza bei kaandika 20k na duka lake lipo tabata bẩrakuda Jmn tusomage caption
2026-08-15 13:19:04
1
naimayusuph1 :
nachokupendea wee dada hulingi baaaaasi❤️🥰🥰
2026-08-15 20:54:18
0
Ms'𝔹𝕖𝕣𝕣𝕪🍓🍓_𝕘𝕖𝕖 :
Zuu hili lisinipite naomba lipa number
2026-08-15 23:53:13
0
Hidaya :
jumla shi ngapi
2026-08-15 11:46:19
1
sheyee :
kuja na branch kenya
2026-08-31 06:49:48
0
Jamila Iddy :
Sasa siujibu jmn upo wapi shingapi😒😒😒
2026-08-22 09:25:42
0
AMMY CARE CLINIC :
una group niunge
2026-09-20 19:04:22
0
Marcella Alela :
uko wapi
2026-08-17 14:53:46
0
user9381538219720 :
haliyako kipenzi kwani beigani hayo madera
2026-09-01 11:00:24
0
shamimkareem450 :
mikono nyembamba hamna
2026-08-31 11:25:42
0
ALLY KIMBUTE :
jumla
2026-08-17 19:02:08
0
Celinekim :
Kwan uko wap
2026-08-20 10:53:50
0
mariamu athumani :
shilingi ngap
2026-08-15 11:10:16
0
To see more videos from user @zuu_madira_pambe3, please go to the Tikwm
homepage.