@abdulhafidh575: KOGA Janaba mapema Ili vikuepuke VIUMBE vibaya na MABAYA ya ulimwengu usiyo yaona.

Abdul Hafidh
Abdul Hafidh
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 15 August 2026 08:53:43 GMT
102573
5015
83
741

Music

Download

Comments

909_jasmine
jasmine909 :
sheikh unamaelezo sana bando lenyewe la jero
2026-08-16 07:36:26
12
zariajeur
Zaria Jeur :
naomba nifundishe kuoga plz
2026-08-16 15:15:18
2
kini8080
Kiniphyscs :
MTUME MUHAMMAD S.A.W AMESEMA MUUMINI HAWEZI KUWA NAJISI
2026-08-15 12:21:34
2
al_qalb_zuyd
Sudi_H🫂 :
I have a question ukiwa hauna uwezo wa kuoa na kudhini ni dhambi ukijitoa shahawa ni dhambi yafaa mtu afanyeje na manii yanapaswa yatolewe msiangalie profile yangu nijibuni mlosoma kidg maana mm sijabalehe nataka kujua
2026-08-16 17:31:14
1
clenia.grayson
🍅single🌸pro-max🦚🦋 :
asante umeongea ukweli maana kuna watu hawapend kuoga
2026-08-15 10:19:20
13
mwanatumu.m.mtawa
Mwanatumu M Mtawazo :
shukrani sana kaka
2026-08-15 12:08:10
3
mariam.hamis.mata
Mariam hamis matary :
je kama nipo kwenye hezi mtu akitaka kunitumia kitu kibaya kinanipa
2026-08-16 19:08:43
1
msodokizeson3
ZE SON🇧🇮 :
Nipe Aya
2026-08-17 04:56:03
1
user3419255500002
mr chinj0 86 :
Shukrah allah akulipe kila la kheri
2026-08-18 07:08:28
2
maheerhamad3
[email protected] :
Mafundisho mazuri masha Allah
2026-08-17 03:09:32
2
hidasalim265
Hida Salim :
Jazakhallahu kheir Allahu bariq
2026-08-18 13:38:09
1
alwaleedalbreiki
safia :
jamani kaka allah akulipe🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 shukuran
2026-08-16 14:38:22
1
user9556003040275
user9556003040275 :
mbona skuhizi nasheed husomi
2026-08-16 03:11:05
2
abuu.sufiani
🌹Golden heart ♥️ :
Fact
2026-08-15 09:24:36
6
fatma.issa939
Fatma Issa :
tunatamani sana Watoto wetu wafate mfano km wakwako angalau wakasome wajue namna ya kuishi duniani binadamu anatakiwa aishi namna gn. mm nakuombea dw M/mungu akujaze kheir . uzidi kuelimisha na hao vjn wenzako.na wezee wasiojielewa.barakallahfik
2026-08-16 05:29:22
3
user9286776249103
Amina mrope :
shukran sana sheikh wetu
2026-08-18 06:38:25
1
user4179711501761
garero tanzy :
waleykum salaam warahmatullah wabarakat
2026-08-15 12:53:04
3
momilfa097
yashilfa❤️💍🫶🔐💫💥🙏 :
naomba unifundishe kukoga shekhe wangu
2026-08-18 12:16:16
1
lazaro.ogodo2
Kitesurfen :
Napenda sana mawatha yako
2026-08-16 20:26:02
1
kulwasele
KULWA SELEMANI :
mashaallah
2026-08-15 21:17:17
2
user6905946935961
MUDY BINGWA WA MAGARI ⛽🚐🚐 :
shekh uwa unajieleza Sanaa unachukuwa mda mwingi mpaka mtuu anachoka kukusikiliza
2026-08-16 07:16:42
1
user6054530055361
user6054530055361 :
umeteleza kwenye mlango wa tawheed,hakuna kitu kitaweza kumdhuru mtu ispokuwa Kwa akitaka Tabaraka wa taala
2026-08-16 06:43:47
1
tausyswea
Tausy Swea :
shukran kwa somo zurii sana
2026-08-15 18:43:21
1
shemlao0
its._skelly :
Shukuran
2026-08-15 17:35:51
1
neema.saidi15
NEEMA CAKE :
neno gn shekhe
2026-08-15 18:50:56
1
To see more videos from user @abdulhafidh575, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About