Yesu alisema
SIKUJA KULETA AMANI BALI UPANGA
Sasa tuambie naye vipi hapo
2026-08-15 12:00:25
5
kaaputkubwa :
Jesus mwenyewe kasema
Matthew 10:34, where He says, "Do not think that I have come to bring peace to the earth. I have not come to bring peace, but a sword."
2026-08-16 14:46:12
3
Agriclture :
2026-08-15 23:44:34
2
upendo :
Yesu ni wakuaminiwa
2026-08-16 05:38:48
2
Omar isa :
ata yesu kasema sikuja kuleta amani bali upanga
2026-08-15 18:44:38
2
Kihalikihahe🎶🧠 :
Yesu ndiye njia ya kweli na uzima wa milele
2026-09-29 09:02:25
1
Janet Mbaraka :
tumsifu yesu kirsto wapedwa
2026-08-16 10:13:45
4
Nebo :
ukweri wamezikia uwamuzi ni wao
2026-08-15 18:37:44
1
Babe girl🇹🇿 :
amen 🙏 🙏
2026-09-23 19:42:06
1
Alice 🇧🇮 :
Ukweli kbisa
2026-08-16 08:47:01
1
kichandemotorbike :
2026-08-17 11:28:24
0
Frank :
Neno la Mungu ni upanga ambao unakata kiroho iyo ndio maana yake
2026-08-17 13:24:12
1
Bwana mtilo :
kila mkiamka mko bize na uislamu Kan melazimishwa kila mja abaki na dini yake
2026-09-05 06:42:56
0
user5251869886405 :
Kupingana kwa ajili ya Mungu ni haki manabii wengi wa Mungu wamepigana ,nabii daudi si alimuua mtu kwa jiwe 😁😁😁 someni maandiko
2026-08-19 12:20:32
0
hamza adam2 :
unajua aliyo sema piganeni na wasio mwaamin Mwenyezi Mungu?
2026-08-16 07:25:52
0
shafiishabani :
akil
2026-09-19 10:24:02
0
user2255097320829 :
Ukweli usemwe
2026-08-15 21:12:12
0
kaaputkubwa :
ndugu Waislamu, platfoams aina hii tuzifurahikieni kwa kuandika kwa ufaswaha ukweli ulivyo bila lugha mbaya au kasha. Sababu kubwa wachungaji Aina hii huwavutia wafuasi kwa kuwapatia kashfa dhidi ya UISLAMU, tukitumia kwa Zuri hizi platfoams zao wafuasi watapata nafasi kupata mbadala Wa maneno ya mchungaji, Kisha watajiamulia wenyewe ukweli.
Qur'an imetufundisha tutumie hekima Na mawaidha mazuri kueneza neno la Mungu"
HEKIMA IKO KWENYE HIZI PLATFORM ZAO ZENYE WASOMI
2026-08-16 15:19:20
1
JR سليوم :
inalilah wainailah raijun hakika sote Allah na kwake tutarejea kwake
2026-09-07 14:51:28
0
አልሀምዱሊላህ አለኩልሀል 💚💛❤️ :
Sasa ukikataa sisi utatushuulisha nn
2026-09-08 06:55:07
0
juli :
halafu kwa nini wana penda kilazimisha mambo ??
ukiona kitu kinalazishwa ,ujue kina disari 😂😂😂
2026-09-25 07:13:44
0
John Paul mkuya :
amani gani yesu kaileta jamani kwl tusome
Msidhani ya kuwa nimekuja kuleta amani duniani; la! Sikuja kuleta amani, bali upanga.
Mathayo 10:34
2026-09-11 08:38:23
0
McDenis :
uislamu ni jeshi la waasi
2026-09-15 14:20:55
2
John Paul mkuya :
yesu alikuwa muuwaje je waislamu wafanyeje
27 Tena, wale adui zangu, wasiotaka niwatawale, waleteni hapa mwachinje mbele yangu.
Luka 19:27
2026-09-11 08:35:58
0
Dabodeff Mangandira :
Sasa unakataa unakubar
2026-08-16 11:02:25
0
To see more videos from user @rev.adonijah1, please go to the Tikwm
homepage.