Apo apo apo 🥺🥺🥺 Walitubadilisha majina, lakini hawakubadilisha hatima! 🙌🏻 Walijua tunaanguka, kumbe tunainuka. 🥹🥹 Kule walipo tusukumia ndipo Mungu anapopumzikia. 🙏🏻🙏🏻 Hii nyimbo ni maana halisi ya wengi wetu( wapambanaji) yote kwa yote Tutashinda zaidi ya kushinda 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
2026-08-16 07:21:42
1
amariseyes3 :
walitubadilisha majina hawakubadili hatima hawakujua Mungu wa sasa halali wala hasinzii🥰
2026-08-16 07:55:40
1
To see more videos from user @brendaprosper9, please go to the Tikwm
homepage.