@loletalkslife: Kumbe huyu mbwa wa Mzee anampenda sana! 😭🙏 Nilipokuwa nampandisha Mzee, kumbe na yeye alikuwa ananisaidia kumpandisha. ❤️🐕🥺#creatorsearchinsights #8keffect #fyyyyyyyyyyyyyyyy #fyppppppppppppppppppppppp #kenyantiktok🇰🇪

Loletalkslife
Loletalkslife
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 15 August 2026 09:39:35 GMT
77523
5321
146
47

Music

Download

Comments

massawe620
Pretty P🌹 :
Mbwa ana upendo kuliko binadamu wa sasaivi🥺🥺
2026-08-15 11:06:59
181
johnash1233
nash joh💰 :
kuna watu wanapitia maish magum nyie bas tu
2026-08-16 11:39:37
33
user45655772083694
Lizzy babe 💞💯 :
mko wap nije nimuone
2026-08-15 12:58:25
11
mosses_5
Mr.Plan_B 🇹🇿 :
Hv kwanini makanisa na misikiti isiwe na vituo vya kusaidia watu wasiojiweza kama hivi na sio watoto yatima peke yake, wao kazi zao ni kugawana tu sadaka
2026-08-16 14:00:41
20
momohairstylish
Momo hairstylish💞💞 :
mbwa anataman kusaidia vile tu hana uwezo
2026-08-22 20:25:47
6
tukatelemwakipemb
lettymwaky :
Mm nasema bora mbwa kuliko baadh ya binadamu😂
2026-08-17 07:23:21
9
manka.food
MANKA FOOD :
mbwa hawa ni binadamu kabisa
2026-08-17 18:27:28
3
theddy569
Theddy 💞💞 :
mbwa tu kajawa huruma jamani 😭😭😭😭😭
2026-08-15 18:27:28
14
user38567724757cleopa
cleopa Stanley :
chukulia mbwa ndoo anahuruma kias hichi aisee dahh wakati Kuna binadam wengine huruma hawana kabisa aisee😭😭
2026-08-16 11:43:00
12
erasm.ignas
Rado :
Hamna kiumbe asiyeelewa lugha ya upendo, "Upendo" ❤️
2026-08-17 20:04:42
2
captain59370073983210
Mr junior :
huyu mbwa anaupendo kuliko huyo rafikiako wa kweli
2026-08-20 19:06:39
4
nsabiadipunaga
nSaBi aDipuNaGa :
huyu mbwa ni rafiki wa kweli kabisa❤️
2026-08-15 21:19:16
4
pourax_99
MSOUTH_🇿🇦 :
Daaah mbwa tuu anahangaika 🥺🥺🥺🥺🙏
2026-08-15 18:32:47
7
mektilda73
mektilda :
Gharama ya kuweka kibaraza hapo kidogo ni sh ngapi🥹🙏 huwa naangalia kila siku inakua ni shida kwake kupanda
2026-08-15 18:35:08
9
estherlyimo_
esterlyimo532 :
Eeh MUNGU tupe huu upendo wa huyu mnyama machozi yamenitoka aiseee
2026-08-16 08:03:03
4
arielaethan40
Ariella ✨ :
imagine mbwa ana upendo kulko binadam wa siku hz ambvy hatupendan 🙌
2026-08-17 22:53:42
4
clemencetemb
churchboy :
bro naomba no yake
2026-08-18 03:49:31
1
marry.philipho.su
Marryblack 🇹🇿 :
😭😭EE MUNGU NASHUKURU KWA UPENDO WAKO ..NAOMBA PIA HUWAPONYE WOTE WENYE UITAJI
2026-08-21 14:05:42
1
icky_moh
Icky's kitchen 🇹🇿 :
Mbwa ni zaidi ya ndugu ,me niliwahi kufuga mbwa zamani aisee wana upendo sana .
2026-08-16 20:02:41
1
petrorankingmyahudi
Pietro Gustavo :
kuna mtu anasema hapendi mbwa hakuna kiumbe bora kama mbwa hapo anataman atoe hata msaada.
2026-08-20 18:18:13
2
gutalifetz
MORIA CARGO TRANSPORT :
daah
2026-08-15 09:44:25
1
young_kidari
Young_kidari :
Mbwa na paka siku zote ni true friend
2026-08-16 10:57:27
1
dede.devotte
Da Néema🌸 :
umbwa anaupendo wa kweli kuliko Watu😭
2026-08-16 00:34:50
1
user2613133245441
high achiever :
ila ww kaka unaemsaidia huyu baba umeipata baraka hizi ndo sadaka sasa nilikua naaangaliaga tu ila leo nimehisi maumivu mnoo
2026-08-16 07:08:02
3
user5216251566023
angel❣️❣️ :
daa nashindwa hata kuongea 😥
2026-08-15 16:56:03
2
To see more videos from user @loletalkslife, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About