@come.tv.tanzania: Nadhani imefika wakati wa Africa kujifunza Metaphysics, ili kwendana na wakati. #somalitiktok #dodomatanzania #kenyantiktok🇰🇪 #bujumbura_burundi #rwandatiktok🇷🇼 #zibabwetiktok #mbeyatikto #burunditiktok🇧🇮 #kampala_uganda #uganda tik tok #southafricatikto #mtwarandiok #nairobitiktokers #daressalaam #diamondplatnum #BUNGENIDODOMA #tamuchungu #mozzarella #kinshasa #congolai
Humans need religion, they need hope but still if belief is powerful....
2026-08-16 12:21:54
0
timotstpvwq :
leta them pray God is protecting us from earthquake and war
2026-08-17 06:44:34
0
Prince Dankokim Kirungu :
Thinking at some point I was like them,I feel sorry for myself
2026-08-16 16:39:18
4
Annastazia Jeremiah :
That prayer is more Than billion
2026-08-16 19:31:18
3
Trinity clothing brand :
Haya ni maombi ya mlimani yana nguvu sana msiache kuomba watu wa Mungu
2026-08-16 14:37:06
130
Clif :
well..this is sad
2026-08-16 07:40:57
0
Babu Dullah :
Yote haya yanasababishwa na ugumu wa maisha
2026-08-15 16:47:49
163
user2583462592992 :
i wonder which country is this
2026-08-16 13:22:58
2
kuluthum majala :
jamani waafrica tuamke sasa ndio nini hiki
2026-08-16 10:39:20
39
KZZBONNY :
mzungu nae alituweza sana apa
2026-08-16 12:16:44
47
Bantu :
Watu wanamtafuta Mungu nyie....bila Mungu Ni uongo
2026-08-16 13:33:11
50
chapter7brk🤝 :
nasikia Yanga Yanga Yanga🤣🤣🤣
2026-08-16 09:29:18
20
Tours :
mimi mda huu
2026-08-16 09:09:53
15
hilamu :
maombi haya yana nguv sana usijaribu kuwakatisha tamaa wala kuzungumza kwa kuwapoteza watu waamini kwamba wapo wanafanya utoto MUNGU niungamanishe na maombi haya🙏🙏🙏🙏
2026-08-17 10:15:40
9
bajaji_point :
Yote haya yanasababishwa na ugumu wa maisha
2026-08-16 16:41:46
21
♐️ :
IMANII NI BOLA KULIKO DINII KILA MTU ABAKII NA AMANII YAKEE
2026-08-16 10:36:33
17
David mollel :
Amin nawaambia msiyaseme vibaya mambo ya MUNGU kwa chochote kinachoonekana yaache kama yalivyo
2026-08-16 13:13:24
50
itc :
meraphsics haina umuhimu kama kusali acha watu wamuabudu Mungu
2026-08-16 04:51:50
13
ebet>lilies_Geo :
pengine kwa maombi yao hayo unakuwa salama, wameacha nyumba ?ao, family na kazi zao wanakuombea wewe na huwezi kuelewa hii kama hujui mambo ya rohoni.
2026-08-16 17:15:20
8
Dylanic :
MNAHAKIKA HAYA YAMEANDIKWA KWENYE BIBLIA
2026-08-16 05:27:58
9
wilson samweli :
nawaona wafia dini wamechukizwa na hili lakini hawa ndio wapo sawa
2026-08-16 11:08:46
7
suuh@ :
bwana yesu asifiwe 🥰🥰🥰🥰
2026-08-16 14:41:04
10
To see more videos from user @come.tv.tanzania, please go to the Tikwm
homepage.