UKI MSIKILIZA KWA MAKINI UTAGUNDUA JAPO PESA ALIKUA NAZO ILA UTU NDO ULI MJAA PIA UTAJUA KAMA DUNIA NI MAPITO.
2026-08-26 05:57:55
29
Alex benard Shilla :
asanteee baabaaa
2026-08-26 11:19:31
1
salum hussein :
R I P
ALLAH akupunguzie adhab ya kaburi.
2026-08-24 12:56:40
11
mnyonge :
Sasa hivi tunaongozwa huku tunatoa machozi🥺😢
2026-08-20 13:04:54
15
Iq@ :
Jamani inatosha msiweke tena mnatuliza mnatumiza.
2026-08-23 03:57:13
6
Roja boy :
daaah hiii imeniuma sana nakumbuka,, nilifungwa kisa eti nimempiga mwizi alie niibia 🙏
2026-08-25 22:55:01
8
ELIA KABWIDJAMU BITAMARAM :
africain tume mukumbuka kila saaa
2026-08-23 09:36:40
7
aknifenwa :
dah Mzee alikua na roho yake bhna huyu😭😭
2026-08-25 19:05:49
7
MAHINA MELINYANZA JR :
daaaah imeniuma sna kwa huu ujumbe hasa kwa wale askil wanaopenda nyanyasa w2.
2026-08-25 13:35:23
7
Kelvin 17 :
daah ila huyu mwamba tungekuwa nae mpaka sasa hivi Tanzania tungekuwa mbali sana jamani
2026-08-25 17:24:17
11
Aludo Makori :
sasa hivi wananchi wa chini hakuna anayehangaika kujua maisha magumu hivi,wako busy kujitafutia mali,yaani mkuu wa nchi sidhani hata kama anajua kuwa hata dagaa zinataka kutushinda kununua wakati ndiyo mboga ya maskini,lkn nani ajuaye?
2026-08-26 01:37:01
9
Venance Schone :
tutakukumbuka mpaka ttakapo kufuata mana safali uliko nass tutafata
2026-08-23 15:15:48
9
michaelyzephania :
pengo lako bado lipo kiatu chako hakuna wa kukivaaaa daima kitabak kuwa waz hakuna mguu WA kukienea Baba pumzika kwa aman wanyonge bado tunalia😭😭😭😭😭
2026-08-26 07:15:51
5
Steven Chacha :
baba ulipiga mwingi sana mungu alaze roho yako mahali pema pepon
2026-08-25 18:04:38
1
user6568368594167 :
rest in eternal peace until we meet again that side dear friend
2026-08-24 06:20:14
1
Eugene Rutagengwa :
traore alishazaliwa tanzania ila mungu hajatupangia inshallah,kazi ya mungu haina makosa Amiin
2026-08-24 08:10:16
4
H. haruni :
Sijui Kwann Mungu Ulimchukuwa Rain wetu Ungetuonea Huruma Bc Ht Kdg Ona Sasa Tunapoenda Sshv
2026-08-26 07:27:03
5
Kilosa Sospeter :
ipo siku utafufuka mzee
2026-08-22 20:41:43
2
shukuru :
sasa hivi wanakopa wao tunalipa sisi
2026-08-15 20:33:07
2
To see more videos from user @magufuli.3, please go to the Tikwm
homepage.