@risaladawaah: Kushiriki katika mazishi yasiokua ya muislamu || Sh Saad Bafana #reminderislamic #fyp

Risala
Risala
Open In TikTok:
Region: KE
Saturday 15 August 2026 10:47:09 GMT
55553
4180
177
508

Music

Download

Comments

aisha.moha51
Aisha Moha :
Lakini Ustadh wengine tumetoka kwa dini za kichristo, familia zenu wachristo ni lazima tushirikiano nao shekh
2026-08-15 18:17:12
44
abdikarim940
ABDIKARIM NGARI :
Sub-annallah
2026-08-17 20:51:41
0
suledehunter
Sule de Hunter 🇰🇪 :
sheria nyingi ni za nini sheikh??? unafanya dini ikae ngumu
2026-08-15 18:13:28
24
qaaassimu
Bin Seleman🇹🇿 :
Tupe dalili ?
2026-08-15 18:54:53
4
damusimai38
user4358689065476 :
hapana nimekataaaa banaa
2026-08-15 16:36:11
3
user7466566010301
🐽🦋Anty🐷rahama🦋🐽 :
me sikubalian naww mungu atanisamee nashilik Kwa Kila atua siwez kumteng binadam mwezang sijui atakae nisaidia dunian tunapitia meng
2026-08-16 04:05:17
14
allybyarushengo1
allybyarushengo1 :
SHEIKH HIYO UNATULETEA BIDAA,KAMA SIYO BIDAA LETE AYA AU HADITH.KWAMBA KUHUDHURIA KTK MAZISHI YA ASIYEKUWA MUISLAM NI HARAM.
2026-08-15 20:02:14
6
raziah.nechesa
Raziah Nechesa :
Astafirura
2026-08-15 11:13:56
3
user44754922760654chriss
Christian :
ila kuomba michango Kwa wasio waislamu sio haramu
2026-08-16 19:58:47
2
riyadh2168
RIYADH🇰🇪 :
NAEMDA TUTAJUA MBELE KWA MBELE
2026-08-15 19:18:37
2
toni41635
JIBRIL :
jamani,mtaweka mipaka isiyokua na maana mpaka lini bwana wee,,uharamu wa kushiriki mazishi ndio upi ? Aya gani iyo ?
2026-08-15 13:47:55
7
imran.mfalme
Imran Mfalme :
Yesu akamwambia, Nifuate; waache wafu wawazike wafu wao.” — Mathayo 8:22
2026-08-17 12:35:58
0
garna099
garna099 :
Jamani tutaishi vpi na majirani?
2026-08-16 04:27:48
0
user3551060661824
user3551060661824 :
assalaam alaykum sheikh naomba kuuliza unatumia mafuta gani kutia kwenye ndevu zako mashaallah
2026-08-16 15:35:19
0
ummu.ibrahim91
Ummu Ibrahim :
Nipate number zako nina maswali
2026-08-16 03:13:53
2
jibreel23
Gozito :
Huyu sheikh anafaa ailimishwe zaidi kuhusu uislamu,Ilimu sio kuwa na ndevu nyingi tu,Ni kukomaa kiilimu. Kuna watu waliosilimu na kuna jamaa zao bado hawajabahatila kusilimu. 1:Tunaruhusiwa kuhudhuria mazishi yao iwapo ni family,Rafiki yako wa karibu.Nukta Muhimu:Hufai kufunga macho muda wanapoomba maombi yao,Au ibada ya Aina yoyote ile amabayo inamshirikisha Allah S.W...etc...
2026-08-18 09:13:10
0
al_muslimkikuyuguy
Karim :
Hapa Sheikh nieleweshe zaidi
2026-08-16 03:46:44
1
ustadhkijuba
kijubz :
sikia leo
2026-08-15 21:29:24
0
foolneverrest..simplicit
#Fool never rest... :
Kila mtu ndie mara yake ya kwanza kuja duniani. ushauri tupunguze
2026-08-16 05:51:56
1
mariamnchimbi436
Mariam Nchimbi :
uko sawa kabisa shekhe wakuelewa tusha elewa wasio elewa wapite hivi
2026-08-18 16:25:54
0
aisha.george21
Aisha George :
sasa mm nimesilim nilikiwa mkilisto na wazaz wang wote wakirsto kwahy wakifa nisifike ama mbn mnanichanganya wasilam ten
2026-08-16 13:30:17
2
tawhidfazul
tawhid :
cha muhim ktka uislamu baada ya shahada ni swala,zakaat,funga ya saum na hajj kwa mwenye uwezo...yale mengne tumia hikma usitoke ktka uislamu...na hii ni kauli yangu🙏
2026-08-15 19:44:14
2
pokiboii254
Ibrahtech👨‍💻😌 :
hadithi iko wapii
2026-08-15 16:51:54
4
user10865495793590
Lyrical Ericko :
Vipi kuhusu Al shabaab! Dini inaruhusu kushirikiana nao sheikh?
2026-08-16 10:51:31
1
sufianmzimbiri
Sufiani Mzimbiri :
juzi nilishiriki mazishi ya mkiristo na wala sijapata dhambi maana najua mipaka ya dini yangu. Uislamu unaruhusu Muislamu yoyote kushiriki katika baadhi ya mambo yanayohusiana na mazishi ya mtu asiye Muislamu, ajapokuwa aliyekufa si ndugu yako Lakini kilichoharamu ni kushiriki katika ibada zao, na mambo yaliyo kinyume na dini yetu Kuhudhuria mazishi kwa ajili ya rambirambi inaruhusiwa Muislamu kwenda kwenye msiba au mazishi ya ndugu, jirani, rafiki au mtu mwingine asiye Muislamu, hasa kwa sababu ya ujirani, undugu, utu na kuwafariji waliofiwa, ikiwa hakuna kushiriki katika ibada inayopingana na Uislamu. Allah amesasem “Allah hakukatazeni kuwafanyia wema na kuwafanyia uadilifu wale ambao hawakupigana nanyi kwa sababu ya dini...” (Al-Mumtahanah 60:8)
2026-08-17 09:06:19
4
To see more videos from user @risaladawaah, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About