@teamcancer69: #cancer #zodiacsigns #explore #foryoupage ‎

Team Cancer♋
Team Cancer♋
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 15 August 2026 11:52:12 GMT
7905
535
68
17

Music

Download

Comments

:
Exactly100%
2026-08-22 14:23:45
0
:
uhakika shida ya buku tu huwa naanza kuangalia namba zote nilizonazo sion wa kunisaidia😁
2026-08-15 12:12:45
17
:
kbsaa yan hata shida zetu tunakufa nazo
2026-08-15 11:57:44
6
:
Yani kuliko niombe msaada bora uniue
2026-08-16 05:50:41
4
:
hata mwanaume wangu simuombi kama hawezi kujiongeza aache
2026-08-16 06:10:35
10
:
Ata ukiomba msaada hawakusaidii si bora nipambane mwenyewe tu.
2026-08-15 13:56:21
6
:
Kwanza ukiomba msaada wasipo kusaidia ni maumivu mara mbili. Bora nipambane na shida zangu
2026-08-15 17:02:00
3
:
umenijuaje
2026-08-15 17:28:22
1
:
hii ni kweli kabisa 🥰🥰
2026-08-15 13:55:32
1
:
Yaan nd nilivyo Jamnii uwiii nashindwaaa 🙌
2026-08-17 05:17:32
3
:
Haswaaaa uyo n mimi kabisa
2026-08-15 17:14:25
1
:
Swadakta me nakufa na tai shingoni tena sipendi kuonekana na shida 😂
2026-08-17 09:15:12
2
:
me co cancer lakn kuomba msaada cwez py😁
2026-08-15 16:50:13
1
:
Kazi tunayo😂
2026-08-15 13:24:50
1
:
mimi uyuu🤗
2026-08-15 12:55:32
1
:
yani kama mimi😅 ndy siwwez kanisa kukieleza
2026-08-16 10:32:05
1
:
hapa nakula shida zangu
2026-08-15 16:41:25
1
:
Ngoja nicheke tu kama unanjaa ndo nashinda kutwa nzima siombi mtu mm🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-08-15 20:20:41
1
:
Nilijua ni tatizo kumbe asili yangu
2026-08-15 13:03:35
2
:
Na wakati naomba msaada hakuna mtu ana nipea hiyo msaada mpaka naisi kuwa Mimi sina bahati
2026-08-15 13:05:19
1
:
kama hapa saiz nashida balaa lakin kuomba hapana jaman huuuuh
2026-08-15 16:40:38
1
:
🥰🥰🥰mimi mpaka niseme vimenitafuna sana 😁
2026-08-19 10:29:57
0
:
sure
2026-08-18 18:54:59
0
:
spending kelele tena kama wanaongea vitu hazini husu ndo kabisa siwez kwend sehem bil sababu maalimu in short sepind kuzulula hata kwenda kusalimia ndugu kwang mtihan 😁
2026-08-20 07:46:00
0
To see more videos from user @teamcancer69, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About