Niko na ya 4k na sina kazi ,,,nmeuza viatu zangu zimeisha sijui next nauza nini 😂😂😂
2026-09-09 06:47:52
29
karen015 :
my situations right nikama nitalipa na school fees i swear😭😭
2026-09-09 09:57:32
3
hellen :
6k per month it's killing me adi Dec ndo nimalize [Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-09 10:22:17
5
Journalist Nyakieni❤️ :
😂😂😂😂😂1K per week na sina job😂
2026-09-09 10:33:51
8
Eve~ton❤️🔥 :
it's stressful for sure😂
2026-09-09 08:52:07
1
Nyakach finest ❤️❤️❤️ :
why can't we download it yawq
2026-09-09 08:52:16
1
silvia kerubo :
my situation right now
2026-09-09 09:20:54
5
msuya😘 :
mm n 100 daily na n siku ya pili leo sijatoa🙈🥺🥹
2026-09-08 20:56:11
6
Mary :
Watu waingie chama watawezana bana😭😭💔Hii mambo ya Mtu kuingia chama ya 2k every week na unajua huna pesa KAZI ni kukopa watu muwache😭😭😭😂💔Live according to your means Kamama😂🙌Wachana pressure Bana..✌️✌️
2026-09-09 11:27:54
2
Concy quence :
mm nlikuwa na chama watu wakatoroka na doo said mm ndio nalipa maden ya watu op God punish them one day,,,wapoteze zote waanze upya nafeel dunia inimeza mshahara napata yote inaenda kwa madeni😥😥😥
2026-09-09 05:49:40
2
Judy ndinda :
mimi ni mumama bt sipendi chama😂
2026-09-08 19:34:54
4
Rozzykesh🥰 :
yangu ni 4000k kila date 12 na saa ii sina bob na ingine thursday 500🥹
2026-09-08 20:35:28
1
🍀𝕯𝖊𝖊 🍫❣️ :
15k per month na nilipewa wa kwanza nmeishiwa pawa na bado safari😫😫😢
2026-09-09 13:55:29
0
Q.wendy🇰🇪♥️ :
Mimi hata fuliza ndio Sina ,sitaki stress Mimi 😂😂😂
2026-09-09 07:44:08
2
❤️QUEEN😊@CONSO :
mm niko ya 500 daily na sina kazi😂😂eeeh mungu😳
2026-09-08 22:25:44
0
Becky❤️✨ :
na nishakula no 1 na tuko watu fifitiii😳🥺
2026-09-01 19:59:23
6
💫✨Neema pixie 💝✨ :
mimi Ata nilikuwa nipate 😭😭😭😭hawashiki simu kutoka date 5 mungu nichunguze
2026-09-09 09:40:23
2
Miss Nyaura :
Mimi bila machama eihhh hiyo kitu imenitoa aibu ,yani vitu Mimi hutamani Niko nazo juu ya chama 🤣
2026-09-09 09:43:29
2
Ace family ❤️ :
nimepigiwa simu hadi sijui nifanye nn sai weeh
2026-09-09 10:21:03
2
Tima :
tena niko kwa chama 3 naisha mimi🤣🤣
2026-09-08 15:24:52
2
Nekesa :
5k imeningojea date 10 again
2026-09-02 10:32:33
1
cheruu :
nlimaliza hii September staki stress na kusumbua akili
2026-09-09 10:34:03
1
To see more videos from user @lastie163, please go to the Tikwm
homepage.