@kitenna.chemboga: kama unaitaji mafanikio tumia adhana kufungua kipato chako#gabontiktok🇬🇦 #creatorsearchinsights #kenyantiktok🇰🇪

KITENNA CHEMBOGA
KITENNA CHEMBOGA
Open In TikTok:
Region: RW
Saturday 15 August 2026 12:17:45 GMT
686
96
10
13

Music

Download

Comments

issa05066
issa :
utachinja usku huwo au naa ukichinja utachuna wakati huwo au utangija asubuhi
2026-08-19 06:14:32
0
itsbobix07
bobix🕷️ :
baada ya hapo mbuzi unamfanyaje?
2026-08-18 19:11:01
0
user5338235865816
MR KAISI :
ni kweli kaka .hiyo ndo tabia yangu .Kiukwel. Allahamdulillah
2026-08-18 21:38:07
0
user9475995050802
mnmn :
asante kaka
2026-08-18 05:23:29
0
nurumuhamedyballo
Nuru Muhamedy Ballo :
Mini mu Islam naweza naninajuwa
2026-08-18 12:55:43
0
pavad6
m qubec :
ulale ndpo uamke au unaweza kusubiria mpaka ifke hiyoo saa nane na kwan lzma uchnje brooo
2026-08-18 11:41:19
0
zanzibartrendhouse
Zanzibartrendhouse :
Iyo adhana unasoma kwa sauti au kwa moyo??. Na uyo mnyama je lazima awepo sehemu ya kusomea au unaweza kumuweka japo nje??
2026-08-18 18:52:54
0
ashraf.kimwaga
kimwaga jr :
kama huna uwezo wa mbuzi
2026-08-18 12:06:45
0
kanuma.jean.bosco
Kanuma Jean bosco :
🥰🥰🥰
2026-08-18 16:20:37
0
To see more videos from user @kitenna.chemboga, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About