I will arrange for appointment Kaka...uko based Dar sio?
2026-08-18 19:27:29
1
Nelson Graphix :
mimi Niko DRC Congo 🇨🇩 nisaidie Kaka naomba ninjue Ku tumia AI
2026-08-17 08:26:28
1
Tumusiime Tv :
sasa mimi niko Uganda Mbarara City nitakufikia namuna gani
2026-08-16 21:13:12
0
Apostle Goodluck wa Yesu✝️ :
ubarikiwe kaka
2026-08-16 00:08:52
0
kadu.brand.outfits :
Mi kwa mtazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa sina cha kusema😂😂
2026-08-26 20:26:01
1
Elias Bix4 :
Nifundixhe namna ya kufuta accounts ambazo nilikuwa nazitumia zamani kabisa facebook pamoja na instagram ambazo pasword zake sizifahamu wala email zake sizifahamu yaani nilikuwa napenda kubadilixha xana cm hivyo bac kila cm niliyokuw naitumia nilikuwa natumia accounts tofaut kw upande wa ig na fb ko mpaka sasa najikuta nina mrundikano wa accounts nying zenye jina moja tu
2026-08-18 17:18:08
1
Dj Meschacke :
nifundish
2026-08-22 10:04:06
0
linah🌹 :
20/20
2026-08-15 12:44:52
1
Malekelwa Timotheo :
unakatwa
2026-08-25 21:35:15
0
𝐩𝐚𝐮𝐥 𝐦𝐞𝐬𝐡𝐚𝐤 :
@ 𝐧𝐚𝐢𝐭𝐚𝐣𝐢 𝐦𝐚𝐟𝐮𝐧𝐳𝐨 𝐧𝐚𝐨𝐦𝐛𝐚𝐮 𝐥𝐢𝐬𝐚𝐛𝐢 𝐝𝐢𝐞𝐛𝐬
2026-08-24 12:36:21
0
JOHN LEONARD :
✅✅
2026-08-15 14:32:10
0
chioma :
🥰🥰
2026-08-16 07:50:40
0
WIZZ FAN_45⛎ :
🤫
2026-08-15 13:02:11
1
👑KASSIM✌️ :
💯💯💯
2026-08-22 14:19:52
0
To see more videos from user @techs.land, please go to the Tikwm
homepage.